Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Naona kenge wamefungua uzi wanajibishana wao kwa wao
 
Hivi Vizee sasa vistaafu kucheza...Sasa Ntibazonkiza badala kufunga anaokoa
 
Mwaka jana walikata pumzi raundi ya pili ila mwaka huu naona kila dalili ya kukata pumzi raundi ya kwanza,, na leo litafukuzwa jitu utopoloni nyie ngojeni tu,,,
 
Yanga inapata freekick eneo jirani na kona area hapa ebu tuone
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mayele kapiga header imeenda nje ya lango
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Biashara wanapata kadi ya njano
 
Back
Top Bottom