Yanga acheni kuichafua Simba na Taifa kwa ujumpa

Yanga acheni kuichafua Simba na Taifa kwa ujumpa

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Inasikitisha sana Yanga kupenda kulalamika kuwa Simba huwa inapulizia dawa kwenye dressing room. Mmewajaza ujinga As Vita wakaja kupiga picha na mask na kuzipost mtandaoni. Yanga acheni majungu kama ni utani wahadi kuna vitu vingine mnavyoviongea sio sawa kabisa inatakiwa mkubali kwa sasa Simba ipi vizuri kiuchumi hata nyie kipindi mnashinda mlikuwa vizuri kiuchumi hatukuwa na gitna na maneno yamkosaji na yakimaskini yakusema tunapuliziwa dawa.

Jimmy kindoki kama upo humu jf punguza mdomo una maneno mengi ambayo sio yakisport yani unaongea vitu ambavyo sio kabisa unasemaje Simba inashinda kwa kutumia uchawi acha hizo sifa zakipbavu zakutafta umaarufu
 
Ushauri wangu kwako jaribu kuwa unapitia kwanza uzi ukishamaliza kuuandika ndo unapost usiwe na papara mzee baba, huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Ujue Yanga ni kama mke kwa Simba,kwahiyo akiona Simba (mmewe) anatembea na wanawake wa nje (kimataifa) lazima aumie.
 
Back
Top Bottom