Yanga akifugwa leo nipigwe ban ya siku saba

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Naona ngoma ya watoto ashaisha, naombeni tu mkalale salama kesho shule zinafunguliwa.

Mimi nikiwa kama shy land mganga na mgaguzi kweli kweli nimecheki mitambo yangu nimeona al hilal amekufa tatu bila

Ikitokea matokeo yakienda kinyume yaani yanga kufungwa nakuomba sana Paw Moderator Invisible nipgigwe ban ya siku saba bila kuacha
 
Sawa mods wametunza hii risiti
 
Ngoja nikusaidie kabisa kuwatag ili lolote likukute 😂😂😂
Active
Moderator
 
Kwa mujibu wa vipimo vyangu bado magoli wawili tu hadi sasa
 
Back
Top Bottom