Unahakika mzee au hisia zinakusumbua?Na mimi wanipe ban ya mwezi mzima
Sawa mods wametunza hii risitiNaona ngoma ya watoto ashaisha, naombeni tu mkalale salama kesho shule zinafunguliwa.
Mimi nikiwa kama shy land mganga na mgaguzi kweli kweli nimecheki mitambo yangu nimeona al hilal amekufa tatu bila
Ikitokea matokeo yakienda kinyume yaani yanga kufungwa nakuomba sana Paw Moderator Invisible nipgigwe ban ya siku saba bila kuacha
Ngoja nikusaidie kabisa kuwatag ili lolote likukute 😂😂😂Naona ngoma ya watoto ashaisha, naombeni tu mkalale salama kesho shule zinafunguliwa.
Mimi nikiwa kama shy land mganga na mgaguzi kweli kweli nimecheki mitambo yangu nimeona al hilal amekufa tatu bila
Ikitokea matokeo yakienda kinyume yaani yanga kufungwa nakuomba sana Paw Moderator Invisible nipgigwe ban ya siku saba bila kuacha
Sawa sawa....Na mimi wanipe ban ya mwezi mzima
Ombi lako limefika mezaniNa mimi wanipe ban ya mwezi mzima
WamefeliSawa sawa....
Mods wametunza hii risiti
Ukahika mkuu si unaona YANGA kashindaUnahakika mzee au hisia zinakusumbua?
Wafanye kazi gani sasaMods fanyeni yenu