Yanga akitolewa CAFCL atakuwa amepata hasara kwenye usajili

Rambo man

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
243
Reaction score
364
Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa Klabu ya Yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. Aziz Ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil. 20 kwa mwezi.

Huyu peke yake anachukua mshahara wa kama mil. 300 kwa mwaka. NBC Ligi Kuu wanatoa mil. 500, je, hii si hasara? Morrison kawapiga sana Yanga pia, Mayele naye kakiwasha anadai hela kama ya Aziz Ki.

Ndiyo maana ile siku ya mechi ya Yanga na Al Hilal, Hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa.
 
Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa club ya yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. aziz ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil 20 kwa mwezi.

Huyu peke take anachukua mshahara wa kama mil 300 kwa mwaka. NBC ligi kuu wanatoa mil 500, je hii si hasara? morrison kawapiga sana yanga pia, mayele nae kakiwasha anadai hela kama ya aziz ki.

Ndio maana ile siku ya mechi ya yanga na al hilal hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa
Million 20 kwa miezi 12 inakuwa 300 Mil?
 
Gsm ela wanayo
 
Hivi unategemea kabisa yanga anaweza akavuka Sudan????

Kule Kuna Hadi wachezaji wa Billion.

Azizi K alikuja kwenye kampeni, Kambole alikuja kwenye Kampeni,Gadiel Bigilimana alikuja kwenye Kampeni, Joyce NAYE pia alikuja kwenye Kampeni.
Wote wastaafu hawa
 
Wazeee wa halua wanawasubiri wautoe mwiko nyuma
JamiiForums-570304765.jpg
JamiiForums-867162978.jpg
 
Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa club ya yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. aziz ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil 20 kwa mwezi.

Huyu peke take anachukua mshahara wa kama mil 300 kwa mwaka. NBC ligi kuu wanatoa mil 500, je hii si hasara? morrison kawapiga sana yanga pia, mayele nae kakiwasha anadai hela kama ya aziz ki.

Ndio maana ile siku ya mechi ya yanga na al hilal hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa
Kwani lengo la yanga si ni kuifunga Simba!
Hasara gani watapata iwapo wanapata usingizi kwa kuikamia Simba ili wajulikane CAF?!!
 
Back
Top Bottom