Waarabu wanalala 2-0
Nimekaa pale[emoji117]
Million 20 kwa miezi 12 inakuwa 300 Mil?Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa club ya yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. aziz ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil 20 kwa mwezi.
Huyu peke take anachukua mshahara wa kama mil 300 kwa mwaka. NBC ligi kuu wanatoa mil 500, je hii si hasara? morrison kawapiga sana yanga pia, mayele nae kakiwasha anadai hela kama ya aziz ki.
Ndio maana ile siku ya mechi ya yanga na al hilal hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa
Gsm ela wanayoItakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa club ya yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. aziz ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil 20 kwa mwezi.
Huyu peke take anachukua mshahara wa kama mil 300 kwa mwaka. NBC ligi kuu wanatoa mil 500, je hii si hasara? morrison kawapiga sana yanga pia, mayele nae kakiwasha anadai hela kama ya aziz ki.
Ndio maana ile siku ya mechi ya yanga na al hilal hersi alivuta pumzi ya hisia na kuogopa
Wote wastaafu hawaHivi unategemea kabisa yanga anaweza akavuka Sudan????
Kule Kuna Hadi wachezaji wa Billion.
Azizi K alikuja kwenye kampeni, Kambole alikuja kwenye Kampeni,Gadiel Bigilimana alikuja kwenye Kampeni, Joyce NAYE pia alikuja kwenye Kampeni.
Unatafuna mapama tu.ππππWaarabu wanalala 2-0
Nimekaa paleπ
Watang'aka!Ngoja wawasili kutoka kwenye gahwa.Hoja yako fikirishi. Hivi pale kwa wapya ni nani mwenye nafuu. Naona kama woote ni hasara
Kwani lengo la yanga si ni kuifunga Simba!Itakuwa ni aibu na hasara kubwa kwa club ya yanga kama itashindwa kuingia hata makundi kwa usajil walioufanya. aziz ki amesajiliwa kwa hela nyingi na analipwa zaidi ya mil 20 kwa mwezi.