Yanga anaongoza ligi: kelele zimepungua

Yanga anaongoza ligi: kelele zimepungua

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,166
Reaction score
2,322
Salaam

Kama topic ilivyo hapo juu. Hawa uto wakiwa juu ya msimamo no matter what, huwa kelele zina potea kuilalamikia Simba sc, TFF na waamuzi. Kama sasa hivi kwa michezo saba na point zao hizo huwezi kusikia lalamiko lolote.

Sasa subiri simba irudi nafasi yake, ndio utajua nini maana ya uwepo wa Amphibia duniani [emoji3]

Napenda kuwakumbusha hili maana wanaJf mnalisahau sana.
 
Wanaongoza ligi kwa uwezo wao uwanjani awaongozi ligi kwa msaada wa Tatu malogo ukae ukilijua Hilo, marefa wenu waliopuliza mechi yenu na Tanzania prison na singida wamekula kifungo ndio ujue mliongoza ligi kwa msaada wa Rose mhando!
 
Salaam

Kama topic ilivyo hapo juu. Hawa uto wakiwa juu ya msimamo no matter what, huwa kelele zina potea kuilalamikia Simba sc, TFF na waamuzi. Kama sasa hivi kwa michezo saba na point zao hizo huwezi kusikia lalamiko lolote.

Sasa subiri simba irudi nafasi yake, ndio utajua nini maana ya uwepo wa Amphibia duniani [emoji3]

Napenda kuwakumbusha hili maana wanaJf mnalisahau sana.
Unateseka ukiwa wapi?
 
Anaongoza ligi au anaongoza michezo ya kucheza?! Wenye akili wawili tu....
 
YAANI SIMBA SIKU IKIWA INACHEZA LAZIMA MVUA INYESHE!! TOKA INYESHE SIKU WALIOCHEZA MISRI NDIO INANYESHA LEO TENA DAAH!!
 
Mashabiki wanacho lalamikia ni makosa ya kibinadamu ambayo yana ihusisha zaidi na kufaidika kwa Simba.
Kama Simba ingekua inashinda kwa uwezo hakuna atakaye lalamika.
Kuna kosa kama lile la kukataa goli na kuita kona?

Kama kuna timu inanufaika na waamuzi nchi hii ni utopolo.
Aucho hucheza mieleka sana na huachwa.Akipitwa na mpinzani yuko tayari waanguke wote chini na unashangaa faida anapewa uto.
Tofauti ni kuwa Simba ni wakubwa huwezi kuwasikia wakilalama hovyo kuwa yanga inabebwa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Umbumbumbu ukizidi unakua wehu, unatakiwa ujue sheria za mpira wa miguu ili liwe goli mpira unatakiwa uvuke mstari tena uvuke wote.
Mpira ulibanwa kwenye goal post na kipa unaweza vipi kuwa goli!!!

Katika ligi hakuna timu inayo ikaribia Simba kwa kunufaika na makosa ya kibinadamu.
 
Salaam

Kama topic ilivyo hapo juu. Hawa uto wakiwa juu ya msimamo no matter what, huwa kelele zina potea kuilalamikia Simba sc, TFF na waamuzi. Kama sasa hivi kwa michezo saba na point zao hizo huwezi kusikia lalamiko lolote.

Sasa subiri simba irudi nafasi yake, ndio utajua nini maana ya uwepo wa Amphibia duniani [emoji3]

Napenda kuwakumbusha hili maana wanaJf mnalisahau sana.
Basi huko mliko mnatamani Bodi ya Ligi na mlezi wenu Wallace Karia wampange Tatu Malogo kuchezesha mechi zenu zote za viporo, ili tu awabebe!! 😁
 
Back
Top Bottom