Wanaongoza ligi kwa uwezo wao uwanjani awaongozi ligi kwa msaada wa Tatu malogo ukae ukilijua Hilo, marefa wenu waliopuliza mechi yenu na Tanzania prison na singida wamekula kifungo ndio ujue mliongoza ligi kwa msaada wa Rose mhando!Salaam
Kama topic ilivyo hapo juu. Hawa uto wakiwa juu ya msimamo no matter what, huwa kelele zina potea kuilalamikia Simba sc, TFF na waamuzi. Kama sasa hivi kwa michezo saba na point zao hizo huwezi kusikia lalamiko lolote.
Sasa subiri simba irudi nafasi yake, ndio utajua nini maana ya uwepo wa Amphibia duniani [emoji3]
Napenda kuwakumbusha hili maana wanaJf mnalisahau sana.
Unateseka ukiwa wapi?Salaam

Anaongoza ligi au anaongoza michezo ya kucheza?! Wenye akili wawili tu....Salaam
Kama topic ilivyo hapo juu. Hawa uto wakiwa juu ya msimamo no matter what, huwa kelele zina potea kuilalamikia Simba sc, TFF na waamuzi. Kama sasa hivi kwa michezo saba na point zao hizo huwezi kusikia lalamiko lolote.
Sasa subiri simba irudi nafasi yake, ndio utajua nini maana ya uwepo wa Amphibia duniani [emoji3]
Napenda kuwakumbusha hili maana wanaJf mnalisahau sana.
Bila mvua utakula nini? Siku ya mvua ni siku ya baraka.YAANI SIMBA SIKU IKIWA INACHEZA LAZIMA MVUA INYESHE!! TOKA INYESHE SIKU WALIOCHEZA MISRI NDIO INANYESHA LEO TENA DAAH!!
AaahaaaaYAANI SIMBA SIKU IKIWA INACHEZA LAZIMA MVUA INYESHE!! TOKA INYESHE SIKU WALIOCHEZA MISRI NDIO INANYESHA LEO TENA DAAH!!
Labda sio makosa Bali ni mkakatiMakosa ya marefarii hususani wapembeni bado yapo. Mfano jana Azizi kii amenyimwa goli halali
Sijui ni makosa au makusudi ila pia ni wazito kukimbia na move za mpira ila Ile ya Jana ilikuwa wazi sanaMakosa ya marefarii hususani wapembeni bado yapo. Mfano jana Azizi kii amenyimwa goli halali
Kuna kosa kama lile la kukataa goli na kuita kona?Mashabiki wanacho lalamikia ni makosa ya kibinadamu ambayo yana ihusisha zaidi na kufaidika kwa Simba.
Kama Simba ingekua inashinda kwa uwezo hakuna atakaye lalamika.
Umbumbumbu ukizidi unakua wehu, unatakiwa ujue sheria za mpira wa miguu ili liwe goli mpira unatakiwa uvuke mstari tena uvuke wote.Kuna kosa kama lile la kukataa goli na kuita kona?
Kama kuna timu inanufaika na waamuzi nchi hii ni utopolo.
Aucho hucheza mieleka sana na huachwa.Akipitwa na mpinzani yuko tayari waanguke wote chini na unashangaa faida anapewa uto.
Tofauti ni kuwa Simba ni wakubwa huwezi kuwasikia wakilalama hovyo kuwa yanga inabebwa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Basi huko mliko mnatamani Bodi ya Ligi na mlezi wenu Wallace Karia wampange Tatu Malogo kuchezesha mechi zenu zote za viporo, ili tu awabebe!! 😁Salaam