Wazo zuriYanga washataja viingilio vya mechi yao ya kombe la shirikisho ambapo kiwango cha chini kabisa ni shilingi elfu kumi.
Sasa ukiangalia viwango vya viingilio inaonesha yanga wanahitaji sana pesa kwa hiyo nawashauri watangaze kwa nguvu hapo mwanza na waanze kuuza tiketi sasa kuliko kusubiria siku ya mechi au siku moja kabla maana kipindi hiki kuna mvua. Ni heri mtu anunue tiketi sasa na siku ya mechi asipokuja sababu ya mvua au nyingine atajijua yeye, lakini siku ya mechi kama ndio siku ya kuuza tiketi na kuna mvua mtakosa pesa na mashabiki.
Yanga washataja viingilio vya mechi yao ya kombe la shirikisho ambapo kiwango cha chini kabisa ni shilingi elfu kumi.
Sasa ukiangalia viwango vya viingilio inaonesha yanga wanahitaji sana pesa kwa hiyo nawashauri watangaze kwa nguvu hapo mwanza na waanze kuuza tiketi sasa kuliko kusubiria siku ya mechi au siku moja kabla maana kipindi hiki kuna mvua. Ni heri mtu anunue tiketi sasa na siku ya mechi asipokuja sababu ya mvua au nyingine atajijua yeye, lakini siku ya mechi kama ndio siku ya kuuza tiketi na kuna mvua mtakosa pesa na mashabiki.
Hapana ni ushauri tuIli mtoe copy sio?