K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,634 Reaction score 7,015 Apr 17, 2017 #1 Kampuni ya yangatel imetoa line mpya za 4G.Line hizo mpya zina uwezo wa kushika kuanzia jangwani ya Dar hadi jangwani ya uarabuni.
Kampuni ya yangatel imetoa line mpya za 4G.Line hizo mpya zina uwezo wa kushika kuanzia jangwani ya Dar hadi jangwani ya uarabuni.
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Apr 17, 2017 #2 Dah! Uzi wako una saa sita.... Halafu hakuna hata reply moja, hata "like". Usijinyonge bure mwaya ngoja Nikupe ka' LIKE na ka' REPLY kamoja... Licha ya kuwa umeandika pumba.
Dah! Uzi wako una saa sita.... Halafu hakuna hata reply moja, hata "like". Usijinyonge bure mwaya ngoja Nikupe ka' LIKE na ka' REPLY kamoja... Licha ya kuwa umeandika pumba.
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 Apr 17, 2017 #3 demigod said: Dah! Uzi wako una saa sita.... Halafu hakuna hata reply moja, hata "like". Usijinyonge bure mwaya ngoja Nikupe ka' LIKE na ka' REPLY kamoja... Licha ya kuwa umeandika pumba. Click to expand... Wacha ni mfariji.hii thread ni amazing imetulia sana.
demigod said: Dah! Uzi wako una saa sita.... Halafu hakuna hata reply moja, hata "like". Usijinyonge bure mwaya ngoja Nikupe ka' LIKE na ka' REPLY kamoja... Licha ya kuwa umeandika pumba. Click to expand... Wacha ni mfariji.hii thread ni amazing imetulia sana.