Tutakapopita we ndio utakuwa wa kwanza kuzimia Mtani.Makundi ya nn unazungumzia hapa?? Labda kundi la wanyama pori
Amiiin Insha Allah. Na hapo ndio tutawashangaza wengi.Leo Young Africans, anachukua ushindi dhidi ya Zesco. Mungu saidia tucheze vema uwanjani.
wewe usijipe matumaini ya mbwa kumuua temboTutakapopita we ndio utakuwa wa kwanza kuzimia Mtani.
Tembo ni nani?wewe usijipe matumaini ya mbwa kumuua tembo
Zesco na SimbaTembo ni nani?
Hizi ni story za vijiweni kama zilivyo story nyingine.Zesco na Simba
Tulia hivyo hivyo Mdogo wangu. 🤣Mpenzi mtazamaji
Ikifika saa moja hivi jioni uje nikwambie Simba alikua anacheza na nani mamii kwani wakati huo matokeo yatakua yashajulikanaHizi ni story za vijiweni kama zilivyo story nyingine.
Anacheza na nani kwani huyo Simba leo?
Hata Wakitaka ku defend chura wana striker gani WA kufunga goalHawawezi kutoboa...zesco wanashambulia muda wote..hawanaga option ya kudefend wakiwa home ground...jiandaen kisaikolojia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia hivyo hivyo Mdogo wangu. [emoji1787]
Bado saa chache tu Shadeeya atakua hana kauli tena kuhusu CCL, sasa hivi magazeti yanawadanganya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niwaite wabishani wako
Sapta Sapta sambo Ghazwat Sesten Zakazaka
Mikia wanaweweseka Yanga wanaingia makundi