Ikifulia ni timu ya Wananchi.
Presha haichagui wa kumpataHawa wanakujaga kwenye mechi zangu tu za kwao nikiwatag wanapotea huwa siwaoni na hata likes hawatoi.
Rudia nisikie vizuri!!Draw moja moja penalties YANGA 4 Zesco 3 . Tanzania hoyeee
Draw moja moja penalties YANGA 4 Zesco 3 . Tanzania hoyeee
Hivi meza imefanyaje?Nimekuja Kaka ake. Hajakosea mleta uzi leo meza inaenda kupinduliwa kibabe.
kwa nn unaulizia tembo na si mbwa??,,,Tembo ni nani?
Draw ya mezaDraw moja moja penalties YANGA 4 Zesco 3 . Tanzania hoyeee
WAMESHINDA NA KUPINDUA MEZA YA KARANGA HUKO ZAMBIA KWA ZESCONaiona hii game yanga anaenda kupindua matokeo ingawa wengi hawawapi nafasi ingawa naona atacheza vizuri Sana nakuwashangaza watu