The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Nov 16, 2023 #1 Yanga mnapaswa kufocus na mashindano yajayo. Kwa hili la kuhangaika na mabango msijetafuta mchawi mkitolewa Makundi.
Yanga mnapaswa kufocus na mashindano yajayo. Kwa hili la kuhangaika na mabango msijetafuta mchawi mkitolewa Makundi.
L Lengutee JF-Expert Member Joined Feb 16, 2011 Posts 421 Reaction score 531 Nov 16, 2023 #3 Kwani umeambiwa wachezaji ndio wanaoweka mabango, tulia dawa iingie
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,269 Nov 16, 2023 #4 Malengo ilikuwa kufuzu makundi Cafcl na kumfunga 5imba. Sasa nikuulize je hayo malengo yametimia au hayajatimia?
Malengo ilikuwa kufuzu makundi Cafcl na kumfunga 5imba. Sasa nikuulize je hayo malengo yametimia au hayajatimia?
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Nov 17, 2023 #5 Mi naona Simba wanahangaika zaidi kuliko yanga [emoji2772][emoji2772][emoji2772]
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Nov 17, 2023 #6 Hii kitu imeniuma sana.
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,055 Nov 17, 2023 #7 Sio CUF ni CAF
hamada umelewa JF-Expert Member Joined Dec 17, 2017 Posts 428 Reaction score 791 Nov 17, 2023 #8 OscarkambonaJr said: Yanga mnapaswa kufocus na mashindano yajayo. Kwa hili la kuhangaika na mabango msijetafuta mchawi mkitolewa Makundi. Click to expand... Kumbe bwana Lipumba siku hizi naye ana mashindano! Hakiiiiiiiiiiiiiii sawaaaaaaaaaa,haki Sawa kwa naniiiiiiiiii? Kwa woteeeeeeeeeer
OscarkambonaJr said: Yanga mnapaswa kufocus na mashindano yajayo. Kwa hili la kuhangaika na mabango msijetafuta mchawi mkitolewa Makundi. Click to expand... Kumbe bwana Lipumba siku hizi naye ana mashindano! Hakiiiiiiiiiiiiiii sawaaaaaaaaaa,haki Sawa kwa naniiiiiiiiii? Kwa woteeeeeeeeeer