BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Utulivu Utulivu Utulivu
[emoji3578]Zalan kama kawaida yao waliamua kucheza nyuma ya mpira muda mwingi (9-10 behind the ball) kwasababu ilikuwa ngumu kupisha na Yanga ambayo ina daraja kubwa la quality.
[emoji3578]Yanga leo shape yao wakati wanashambulia ilikuwa 2-1-7 yaani mstari wa mwisho (attacking phase) ilikuwa na Kibwa Shomari , Joyce Lomolisa, Jesus Moloko,Farid Mussa, Azizi Ki, Feisal na Mayele na kuna muda Sure Boy alikuwa anaongezeka.
[emoji3578]Kwa hiyo ikawa 8 vs 9 yaani Zalan wakawa na wachezaji 9 dhidi ya 8 wa Yanga na Zalan Muda mwingi wakawa wanamuacha mshambuliaji wao Akoti mbele.Licha ya Yanga kuwa na wachezaji wengi kwenye mstari wa mwisho na kutengeneza nafasi nyingi walikosa utulivu na ushirikiano wa kutosha wa kufunga magoli.
[emoji3578]Kama Yanga wangekuwa na Utulivu kipindi cha kwanza kwenye eneo la mwisho mechi ya leo wangepata magoli hata 7.
Note.
[emoji3578]Nafasi walizopata Yanga leo hawawezi kuzipata dhidi ya timu kubwa timu zenye ubora na experience ya mashindano haya.
[emoji3578]Zalan bado sio kipimo sahihi cha ubora wa Yanga kimataifa,ngoja tuone nini kitatokea Yanga wakikutana na timu zinazopenda kupishana(offensive minded team).
[emoji3578]Mayele kipindi cha kwanza alikosa sana umakini na kuna muda ubinafsi wake uliifanya timu kushindwa kupata magoli,kwangu mimi Mayele kufunga Hat Trick ya pili dhidi ya vibonde Zalan sio stori kubwa.
[emoji3578] Azizi Ki anakufanya uone kufunga goli kwa pass ni jambo rahisi,what a player [emoji119][emoji119].
Full Time
Yanga 5-0 Zalan
Aggregate
Yanga 9 - 0 Zalan
@omarrkombo