Yanga bila kubebwa na kutoa mlungura ni timu ya kawaida sana

Yanga bila kubebwa na kutoa mlungura ni timu ya kawaida sana

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii timu wanaongoza kwa kulalamikia marefa na TFF,na hata kule Zanzibar kuna wajinga walikuwa wanalalamikia TFF wasijue kule kuna ZFF.
Siyo hapa tu,huko CAF wamekuwa wanaongoza kwa kulalamikia maamuzi na kuthubutu kusema eti Simba ni last born wa CAF.
Malalamiko hayaishii hapo,hata FIFA walishalaumiwa na kulalamikiwa sana na hawa watu wa utopolo.

Lakini tunaona hawa jamaa bila kutoa mlungura na bila kubebwa,ni timu ya kawaida mno.
 
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii
1703745417629.jpg
 
leo yatasemwa mengi
 
Mbilikimo za mangungu zimeanza kunyanyua midomo, hivi huo mlungula Kama viongozi wako nao waliupokea mkachapwa goli 5 unafikiri mtanusurika? Timu Bora itaendelea kutoa vichapo na Leo iyo SARE ni mtego endeleeni kushupalia ligi tunaanza RASMI tarehe 5 baada ya apo mtaisoma namba
 
Embu semeni....Kabebwaje bebwaje.?

Yanga Sports Club...njooni mum challange huyu Bwana..Yanga Kama Yanga,wengine huiita 'Daresilamu Yanga Afrika' Amebebwaje bebwaje Leo..!

Chama letu linadhalilika huku hujuma za Kubebwa...!
 
Kuna goli halali tulifunga refa akaweka offside
 
Inonga ameonekana ni mcheza bora kwasababu anachezea timu kubwa na bora ya kwanza Tanzania,africa mashabiki na kati,na ya 7 katika bara la Africa,na timu pekee inayowania kucheza kombe la Dunia 2025,na timu pekee iliyocheza Super league Tanzania,africa mashabiki na kati na timu hiyo ni SIMBA SC..mayele kwasababu alichezea timu iliyojitafuta kucheza hatua ya makundi ya club bingwa kwa miaka 30,tukumbuke SIMBA SC wakati huo tokea nchi ipate uhuru inacheza club bingwa kila siku na imefika robo final mara 5 na nusu final 1974 na ni timu karibia ya 40 barani afrika ambayo ni yanga..amewekwa benchi awape wanaume maji yakunywa...yanga ingekuwa at least ni timu yenye hadhi kama Apr ya Rwanda mayele angepangwa
Nb niweke sawa yakwamba timu timu yeyote mbovu inaweza kuchukua kombe la ligi kuu kwasababu ligi ya Tanzania inachezeshwa na waamuzi wabovu,wabahasha na wenye ushabiki hivyo wanaingia na matokeo mfukoni,na hatimaye kuipa timu mbovu matokeo ikabeba kombe la ligi kuu..mfano mechi ya jana ya kagera na yanga..kagera wamenyimwa bao la wazi na hawa waamuzi uchwara na kuibeba yanga itoke droo na kagera..ndio maana hakuna mwamuzi yeyote wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA..wangechezesha wangefanya taifa star ichukue Afcon cup kwasababu ni mataira..yanga makombe mengi ya ligi kuu aliyochukua ni makombe ya waamuzi sio ya yanga.
 
Back
Top Bottom