Yanga bila kurekebisha haya mechi ya kesho itakuwa ngumu

Kaka umemaliza,hakuna la nyongeza
 
Pia wahakikishe wanajitahidi kukaza meno kama wanavyokaza mechi za Simba.

Kwa lugha rahisi wachukue vinyago wavivishe jezi za Simba wahisi wako wanapambana na Simba , hapo Club Africain hatatoka hakika

Nje ya hayo basi byebye
Tuletee mrejesho ndugu
 
Leo hamna walichorekebisha wamerudia makosa yaleyale
 
Pia waambie kuwa WAMESHATOKA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…