Yanga bila Ngoma, Kamusoko yapania kuinyoa Sagrada leo

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180

YANGA imetwaa tena ubingwa wa soka Tanzania Bara bila jasho, na leo inaingia uwanjani ikitaka kutimiza malengo yake matatu kwa msimu huu.

Baada ya Azam kupokwa pointi tatu na Shirikisho la Soka Tanzania kwa kosa la kumchezesha Erasto Nyoni huku akiwa na kadi tatu za njano, Yanga ikanyakua ubingwa, lakini leo inataka kushinda mechi yake dhidi ya Grupo Desportivo Sagrada Esperança ya Angola ili kufuzu kwa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ambako itaogelea kwenye mamilioni ya fedha.

Yanga ikifuzu hatua hiyo itaingia kwenye hatua ya makundi ambako ina uhakika wa kuvuta kitita cha Dola ....

Habari zaidi, soma hapa=> Yanga bila Ngoma, Kamusoko yapania kuinyoa Sagrada leo | Fikra Pevu
 
haya mambo ya kutoonesha ndo laana zinapoanzia
 
Duh!hapa huwa panakuwa pachungu sana kwa timu yangu wengine tunakuwa tupo field jamani hatupo mujini.
 
Gate collection
Sawa mashabiki wameelimika siku hizi hata kama wataenda wote mashabiki wa yanga hapo dar uwanja utatosha?pili teknolojia imekuwa hawawezi kutoonyesha dar ila watu wa mikoani wakaona?
 

Bora hata yanga wangefungwa tu. Ili tuondokane na hizi taabu, mie siku ya tatu leo sijaonja sukari, nikategemea leo nitaiona mechi ya yanga kwenye tv ili nipunguze machungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…