mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,682 Reaction score 10,801 May 8, 2016 #41 Hata nimeshindwa kuelewa huyo golikipa nini kimemwangusha hapo kwenye goli la pili, sijui uchovu alichemsha kuimili kitimtim cha Yanga
Hata nimeshindwa kuelewa huyo golikipa nini kimemwangusha hapo kwenye goli la pili, sijui uchovu alichemsha kuimili kitimtim cha Yanga
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 8, 2016 #42 Acha Yanga iitwe Yanga....
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 May 8, 2016 #43 Guasa amboni said: Shukran ndugu yangu ila....hamia huku ndugu sasa hivi nawe ungekuwa unapongezwa na sio kupongeza. Click to expand... Itafika muda nitapongezwa tu.
Guasa amboni said: Shukran ndugu yangu ila....hamia huku ndugu sasa hivi nawe ungekuwa unapongezwa na sio kupongeza. Click to expand... Itafika muda nitapongezwa tu.
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 May 8, 2016 #44 Katavi said: Itafika muda nitapongezwa tu. Click to expand... Swadakta kila jambo lina waqt wake vp salama lakini huko?
Katavi said: Itafika muda nitapongezwa tu. Click to expand... Swadakta kila jambo lina waqt wake vp salama lakini huko?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 May 8, 2016 #45 Guasa amboni said: Swadakta kila jambo lina waqt wake vp salama lakini huko? Click to expand... Salama kabisa boss
Guasa amboni said: Swadakta kila jambo lina waqt wake vp salama lakini huko? Click to expand... Salama kabisa boss