Castle Senior Member Joined Jul 25, 2008 Posts 116 Reaction score 20 Dec 29, 2009 #1 hongera sana wana jangwani kwa kutuletea heshima kubwa katika nchi yetu ya tanzania na kuonesha jinsi mpira wa tanzania umekuwa. Attachments yanga.jpg 34.6 KB · Views: 67
hongera sana wana jangwani kwa kutuletea heshima kubwa katika nchi yetu ya tanzania na kuonesha jinsi mpira wa tanzania umekuwa.
The Quonquerer JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 777 Reaction score 111 Dec 29, 2009 #2 Baada ya kumwua Simba, na Paka akafuatia! Ma wild cats tutawaliza sasa hivi!
ELNIN0 JF-Expert Member Joined Nov 26, 2009 Posts 4,161 Reaction score 1,476 Dec 29, 2009 #3 Kanyabwoya said: Baada ya kumwua Simba, na Paka akafuatia! Ma wild cats tutawaliza sasa hivi! Click to expand... Manji alinunua marefa wote kuhakikisha heshima jangwani inarudi.
Kanyabwoya said: Baada ya kumwua Simba, na Paka akafuatia! Ma wild cats tutawaliza sasa hivi! Click to expand... Manji alinunua marefa wote kuhakikisha heshima jangwani inarudi.
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,328 Reaction score 23,909 Dec 29, 2009 #4 ELNIN0 said: Manji alinunua marefa wote kuhakikisha heshima jangwani inarudi. Click to expand... Si nasikia Manji kaiaga Yanga!??
ELNIN0 said: Manji alinunua marefa wote kuhakikisha heshima jangwani inarudi. Click to expand... Si nasikia Manji kaiaga Yanga!??
N Nampula JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 254 Reaction score 3 Jan 3, 2010 #5 hongera yanga