Yanga Bora Waitwe 'BANA YANGWINYO' maana wana tuzo ya kutojali Muda na Ratiba ya Yanga Day

Yanga Bora Waitwe 'BANA YANGWINYO' maana wana tuzo ya kutojali Muda na Ratiba ya Yanga Day

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom

Naona Yanga yafaa wapewe ubatizo mpya wa kutojali Muda na Ratiba,

"BANA YANGWINYO" inawafaa hawa Mautopolo

Bora ngumi tu mje kwa wingi msikimbie mawe.

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
 
Mazuzu makolo yanateseka kwa mambo yasiyowahusu.

Tamasha ni outing, huwezi kuwapangia watu muda kwenye starehe zao.

Napendekeza tamasha lijalo liwe ni mkesha kabisa kama Fiesta.
 
Shalom

Naona Yanga yafaa wapewe ubatizo mpya wa kutojali Muda na Ratiba,

"BANA YANGWINYO" inawafaa hawa Mautopolo

Bora ngumi tu mje kwa wingi msikimbie mawe.

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Kipi hakikufanywa Kwa wakati wake? Ukiongelea mpangilio WA matukio nitakuelewa lakini kuzingatia Muda Hakuna walipofanya tofauti na ratiba Yao waliyojipangia.
 
Attachments

  • 20240805_084134.jpg
    20240805_084134.jpg
    127.5 KB · Views: 3
Wote simba na Yanga wako sahihi mana wapo kazini ila nyie mashabiki ndio mna matatizo ya akili, mnaweza vp kukaa uwanjani kutoka saa 1 asubuhi mpaka saa 6 usiku?
 
Mkoo busy kuongelea matukio ya Yanga Day ila baada ya tarehe nane mtaanza kuongelea matukio yenu. Huku mkikumbushia bil 20 na kuanza kuyatafuta maduka.
 
Ukizungumzia tuzo kinakupwita pwita yaani
au unasema ya MVP
 
Back
Top Bottom