Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
wewe unayejali muda naomba kazi kwenye kampuni yako mkuuShalom
Naona Yanga yafaa wapewe ubatizo mpya wa kutojali Muda na Ratiba,
"BANA YANGWINYO" inawafaa hawa Mautopolo
Bora ngumi tu mje kwa wingi msikimbie mawe.
Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Kipi hakikufanywa Kwa wakati wake? Ukiongelea mpangilio WA matukio nitakuelewa lakini kuzingatia Muda Hakuna walipofanya tofauti na ratiba Yao waliyojipangia.Shalom
Naona Yanga yafaa wapewe ubatizo mpya wa kutojali Muda na Ratiba,
"BANA YANGWINYO" inawafaa hawa Mautopolo
Bora ngumi tu mje kwa wingi msikimbie mawe.
Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
wewe unayejali muda naomba kazi kwenye kampuni yako mkuu