kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Klabu ya Yanga inapenda kusajili wachezaji wazuri lakini wanapotajiwa gharama wanalalamika.Yanga kumbukeni kuwa mchezaji mpaka anakuwa mzuri ameandaliwa hivyo muwe tayari Kulipa gharama na kama hamna hela tafuteni WACHEZAJI kwenye mashindano ya NDONDO CUP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app