kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Kama mzee Wenger tofauti yao ni kuwa Yanga hawana hela Wenger bahiliKlabu ya Yanga inapenda kusajili wachezaji wazuri lakini wanapotajiwa gharama wanalalamika.Yanga kumbukeni kuwa mchezaji mpaka anakuwa mzuri ameandaliwa hivyo muwe tayari Kulipa gharama na kama hamna hela tafuteni WACHEZAJI kwenye mashindano ya NDONDO CUP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu ya Yanga inapenda kusajili wachezaji wazuri lakini wanapotajiwa gharama wanalalamika.Yanga kumbukeni kuwa mchezaji mpaka anakuwa mzuri ameandaliwa hivyo muwe tayari Kulipa gharama na kama hamna hela tafuteni WACHEZAJI kwenye mashindano ya NDONDO CUP.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Klabu ya Yanga inapenda kusajili wachezaji wazuri lakini wanapotajiwa gharama wanalalamika.Yanga kumbukeni kuwa mchezaji mpaka anakuwa mzuri ameandaliwa hivyo muwe tayari Kulipa gharama na kama hamna hela tafuteni WACHEZAJI kwenye mashindano ya NDONDO CUP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiyempenda kaja. By the way, zile point tatu zinakuja lini? Lialia FC aka binti machozi fcKlabu ya Yanga inapenda kusajili wachezaji wazuri lakini wanapotajiwa gharama wanalalamika.Yanga kumbukeni kuwa mchezaji mpaka anakuwa mzuri ameandaliwa hivyo muwe tayari Kulipa gharama na kama hamna hela tafuteni WACHEZAJI kwenye mashindano ya NDONDO CUP.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalo neno.Msiyempenda kaja. By the way, zile point tatu zinakuja lini? Lialia FC aka binti machozi fc
Mikia FC kwa kuwaamini watu mnatisha.Msiyempenda kaja. By the way, zile point tatu zinakuja lini? Lialia FC aka binti machozi fc
Kwa matopeni mkitajiwa chochote mnatoa tu?Azam wamepangwa bei ya mchezaji wao Eti Mkwasa anasema bei iko juu kama hamna FEDHA tafuteni Wa chezaji Wa bei nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app