Yanga chupuchupu kwa Majimaji mjini Songea, zatoshana nguvu

Kuna jamaa analia hapa eti kabeti kawapa ushindi Yanga direct win..
 
Yanga gemu tushapigwa...sioni uwezo kurudisha goli....mechi izi kocha hatakiwi kuchezesha mastaa , ni ngumu sana, chezesha wale wa kawaida
 
Kazeni mnaweza kushinda dakika bado hizi..
 
watani draw na Lipuli, draw na maji maji mjisahihishe mabingwa mara tatu wazee wa kusubiri mechi ya 12.
 
πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€ Chaneta FC msimu huu umekula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…