Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi kuu SImba linatarajia kufana na kujaza wapenzi wengi wa muziki wa Kikongo.
Vile vile Club ya Yanga inatarajia kutumia tamasha hilo kama sehemu ya kutangaza jezi zake mpya za msimu na kuwatambulisha pia wachezaji wake wapya ambao wengi wao ni asili ya Congo.
Karibu Papa Ngwasuma. Pia baada ya tamasha tunatarajia kupata burudani ya soka kutoka kwa hao washindi wa pili wa ligi ya Tz mwaka jana na washindi wa pili wa Ligi ya Zambia Zanaco ambao ligi ya nchini mwao imesimama tokea Mwezi wa sita (6)