Yanga Day 2021: Tamasha la Koffi Olomide kufana leo Uwanja wa Mkapa

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi kuu SImba linatarajia kufana na kujaza wapenzi wengi wa muziki wa Kikongo.

Vile vile Club ya Yanga inatarajia kutumia tamasha hilo kama sehemu ya kutangaza jezi zake mpya za msimu na kuwatambulisha pia wachezaji wake wapya ambao wengi wao ni asili ya Congo.

Karibu Papa Ngwasuma. Pia baada ya tamasha tunatarajia kupata burudani ya soka kutoka kwa hao washindi wa pili wa ligi ya Tz mwaka jana na washindi wa pili wa Ligi ya Zambia Zanaco ambao ligi ya nchini mwao imesimama tokea Mwezi wa sita (6)
 
Usijitoe ufahamu,hivi hujui ile kauli mbiu yenu ya kushangilia CCM CCM CCM CCM CCM, hata rangi ni zile zile
Acha kuifananisha timu ya wananchi na huo uchafu wewe!! Hao fisiemu ndiyo wamedesa rangi ya jezi zetu, kama nyinyi mlivyo desa mpaka jina kwa timu ya Sunderland.
 
Unateseka ukiwa wapi wewe, utakufa bure na presha yanga sio saizi yako achana nayo kabisa ukijisikia vibaya Sana kalambe ndimu maana mnateseka Sana na yanga
 
Muongoza kamera katufanyia roho mbaya sana ..
 
Acha kuifananisha timu ya wananchi na huo uchafu wewe!! Hao fisiemu ndiyo wamedesa rangi ya jezi zetu, kama nyinyi mlivyo desa mpaka jina kwa timu ya Sunderland.
Huwezi kutenganisha Utopolo na CCM
 
Unateseka ukiwa wapi wewe, utakufa bure na presha yanga sio saizi yako achana nayo kabisa ukijisikia vibaya Sana kalambe ndimu maana mnateseka Sana na yanga
Ilo nalijua kuwa sio size yangu mbona kitambo...ahaa ZANOCO 2 YANGA 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…