Yanga day Julai 22, 2023. Wiki ya mwananchi

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Bado siku 10 ifike tarehe 22, yanga tayari wameingia kambini kujiandaa na msimu ujao, za ndani zinasema kwamba yanga watacheza na Kaizer chief ya Afrika Kusini.


 
Kazi kazi watani....
Mwaka huu mtachapika sana...kuanzia Yanga siku...
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Dah! Siku tamu sana hii. I wish ningehudhuria. Ila sasa ndiyo hivyo tena. Mambo ni mengi, halafu muda ni mchache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…