Yanga day, watu wanaingia kama kawaida, hakuna mambukizi ya covid wala kuatarisha usalama

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Jumamosi NCCR MAGEUZI walikuwa wamepanga kikao chao cha Kamati kuu, wakavamiwa na "majitu" na kuambiwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani, NCCR wanapendwa sana.

Leo YANGA -timu ya CCM inacheza , Yanga day, watu wanaingia kama kawaida, hakuna mambukizi ya COVID wala kuatarisha usalama.

MBINGU na wanasiasa na chini ya bahari na kwenye nyota.
 
Una hoja lakini unachanganya
1. Una hoja ya kubinywa demokrasia
2. Una hoja ya Korona
3. Mpira na siasa
Tulia kila moja uiongelee vyema na ukiangalia suala la usalama.
Kwako
jaji mfawidhi
 
Jana lilikua kongamano la wahuni kama walivyo wahuni wengine utakwendaje kanisani na mafulana yamechapishwa takataka Mungu ndivyo alivyoelekeza!
 
una hoja:-

1. NCCR walikuwa wanakwenda kanisani jana.
2. Walikuwa wamevaa ma-tisheti yamechapishwa Mungu.

Je, kusali kuna mavazi maalum?
Mungu anaangalia mavazi au mioyo?
Poli-ccm wanajua Mungu anaskiliza sala za aina gani?
 
Back
Top Bottom