Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Una hoja lakini unachanganyaJumamosi NCCR MAGEUZI walikuwa wamepanga kikao chao cha Kamati kuu, wakavamiwa na "majitu" na kuambiwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani, NCCR wanapendwa sana.
Leo YANGA -timu ya CCM inacheza , Yanga day, watu wanaingia kama kawaida, hakuna mambukizi ya COVID wala kuatarisha usalama.
MBINGU na wanasiasa na chini ya bahari na kwenye nyota.
una hoja:-Jana lilikua kongamano la wahuni kama walivyo wahuni wengine utakwendaje kanisani na mafulana yamechapishwa takataka Mungu ndivyo alivyoelekeza!