Yanga dhidi ya Simba, ukweli lazima usemwe

Hata Mimi nilikuwa na matumaini makubwa na Yanga yetu lakini nilivyo iona hakuna kitu pale Yanga inasalia kuwa ya kawaida sana. Simba atachukua mara ya tatu mfululizo.
 
Hiyo branding unayozungumzia ni nini hasa???
 
Mashabiki wa simba na yanga Wengi matahira very low iq

Unakuta watu asubuhi wanabishana simba na yanga kazi hayafanyi yapo yapo tu

Mtu anaenda uwanjani saa tano asubuhi anaacha kazi zake za msingi

I have been there sijawahi kuona mashabiki washamba km wa simba na yanga

Manchester United ac millan Barcelona kila weekend inajaza mashabiki

Sijui hata msemaji au mmliki wa hizo timu tofauti na huku Tanzania Yule mhindi wa simba kila siku anauza sura
 
Kama timu inacheza Mpira wa kuvutia na kupata matokeo hata kama hakuna promo watu watajaa tu uwanjani , watu wanapoacha kwenda uwanjani siyo kwamba hawafuatilii timu yao , huwa wanafuatilia kimya kimya wakiogopa kwenda uwanjani kwa kuwa hawana uhakika wa kupata matokeo Mara kwa Mara.
 
👍
 
We Mzee, unaishi bongo au unaisho huko Milan,Barcelona na Manchester??We unadhani huko ulaya mashabiki wa timu hizo wanamsikia au kumjua Haji Manara??Kutokuwasikia au kutokuwajua wasemaji wa timu hizo usidhani huko kwao hawawasikii au hawapo au hawasikiki,wenyewe huko wanawajua vizuri tu na wanawafuatilia vizuri tu kwa habari za uhakika za timu zao hususani wakati wa usajili.Tofauti iliyopo Style ya Usemaji wa Haji Manara kamix ya kizungu na ya kizaramo!!bhaaaas
 
Kweli.. hatuna tabia ya kwenda uwanjani kwa wingi hadi kuwepo na tukio fulani
 
Hao Man U wanamiliki Television za Nini?alafu uchumi wa Ulaya unafananisha vipi na wa kwetu..
 
Mikia Fc buana.
 

Hujielewi
 
Watu hawawezi kujaa ghafla. Hata uwekezaji huwa haulipi siku hiyo hiyo. Sasa kaeni hivyo hivyo, mtakuja kuwa kama Ndanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…