hizi team za watoto zamani zilikuwa zinaudumiwa na wazazi unapeleka mtoto wako na unachangia vifaa sio jambo la ajabu
Kumbe mfumo wa vilabu vyetu ni mfumo wa kijamaa toka enzi
Wana yanga Nguvu moja ushindi mbele daima.
hiyo ni academy chini ya Tauzan Kessy, hata hivyo hiyo 100 mwaka 1985 ni sawa na 100,000 ya sasa.hizi team za watoto zamani zilikuwa zinaudumiwa na wazazi unapeleka mtoto wako na unachangia vifaa sio jambo la ajabu
HahahahahahaHmm.. 1985 mimi bado nipo kwenye kaptura ya mzee