Yanga FC waondoka rasmi Uwanja wa Mkapa

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
5,280
Reaction score
7,930
Yanga waondoka rasmi uwanja Wa mkapa , wakigomea mabadiliko ya muda Wa mchezo wao uliotakiwa kuchezwa Leo saa 11 jioni na kupelekwa mbele saa 1 jioni

Wachezaji na viongozi wao wote wameondoka .
 
TFF (Tanzania Football Failure) wamejazana majitu yasiyojua hata mpira yapo yapo tu
 
Yanga waondoka rasmi uwanja Wa mkapa , wakigomea mabadiliko ya muda Wa mchezo wao uliotakiwa kuchezwa Leo SAA 11 jioni na kupelekwa mbele SAA 1 jioni

Wachezaji na viongozi wao wote wameondoka .
Haooo
Your browser is not able to display this video.
 
Yanga waondoka rasmi uwanja Wa mkapa , wakigomea mabadiliko ya muda Wa mchezo wao uliotakiwa kuchezwa Leo SAA 11 jioni na kupelekwa mbele SAA 1 jioni

Wachezaji na viongozi wao wote wameondoka .
Wananchi safiiiiiii

Tff ni wapuuzi sana, watu wamesafiri mbali kwa ajili ya hii mechi then unabadilisha muda wa mechi muda mfupi kabla ya mechi
Kwani mechi ingechezwa saa 1.00 usiku, hao waliosafiri si wameshalipa nauli? Au unamaanisha nini?
 
Yanga waondoka rasmi uwanja Wa mkapa , wakigomea mabadiliko ya muda Wa mchezo wao uliotakiwa kuchezwa Leo SAA 11 jioni na kupelekwa mbele SAA 1 jioni

Wachezaji na viongozi wao wote wameondoka .
Safi sana
 
Kwani mechi ingechezwa saa 1.00 usiku, hao waliosafiri si wameshalipa nauli? Au unamaanisha nini?
Hivi unajua watu wengine wameingia uwanjani saa ngapi, na ilitangazwa milango itafungwa saa kumi kamili....fikiria kabla hujaquote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…