MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Mechi ijayo kiingilio kitakua BureeeVihingilio vyetu itakuwaje sasa
Aondoke sababu katii maagizo ya wizara?Karia Must GO
FiFA imetenganisha mambo ya serikali na TFF.Hizo ni kanuni za FIFAAondoke sababu katii maagizo ya wizara?
Ko ni hili tu linatosha au kuna lingine?FiFA imetenganisha mambo ya serikali na TFF.Hizo ni kanuni za FIFA
Walioahirisha mechi kihuni wawajibike.Vihingilio vyetu itakuwaje sasa
Weka ushahidi pembeni fuata Sheria kanuni na taratibu,sio Kila mahala kuweka ushabiki wako wa Simba na yanga,Kuna mahala inabidi tusimame Kama watanzania wenye akili timamu.Sio yanga fc ni yanga sc