Yanga fukuzeni haraka Mwinyi Zahera, timu haitofika popote!!

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Ukiangalia timu inavyocheza dhidi ya Zesco huoni km Yanga inakocha. Mpira wanacheza kwa papara sn hakuna mipango yoyote wanayoifanya. Kulia anamuweka benchi Juma Abduli anang'ang'ania wachezaji aliowasajili akina Ali Ali, Sadney wakati hawana lolote!! Yanga fukuzeni haraka sn huyu kocha ,timu haitofika popote
 
Unasemaa?tafadhari ongeza sauti!!sadney eeh!
 
Kumbuka Juma Abdul katoka kwenye majeraha, na hakucheza mechi yoyote ile ya kimashindano, je una uhakika na fitness yake inamruhisu kuanza hii mechi?
 

Kwa Ali Ali! uko sahihi kwa 100%. Anabutua butua tu na ni mchomeshaji mzuri wa timu.Kwa Sadney, walau ni mpambanaji! Sonso naye anaiprove kwenye utulivu, ingawa bado ni mzito kwenye kupandisha mashambulizi na pia kwenye uchezaji wa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…