Mkuu ulikua unaotea au ulikua na info?maana imebid nifukue uzi kuhakikishaKishingo atasepa na CEO wake to "Upande wa Pili"
Info Mkuu,Mkuu ulikua unaotea au ulikua na info?maana imebid nifukue uzi kuhakikisha
[emoji3] [emoji3] [emoji3]kishingo babu yako
MmmhKishingo atasepa na CEO wake to "Upande wa Pili"
Kweli kabisamnajitahidi sana tufanane,huwezi kujilinganisha na Simba. kwa sasa tupo mbali saaaaana
Haya uliyajuaje mkulungwa?Kishingo atasepa na CEO wake to "Upande wa Pili"
Nilimsikia Mwenyewe akilalamika live, tunakutanaga mahali kimtindoHaya uliyajuaje mkulungwa?
Kongolee mkuuNilimsikia Mwenyewe akilalamika live, tunakutanaga mahali kimtindo