Yanga haijajiandaa kuchukua ubingwa 2021/2022

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Kwa sasa bila shaka Yanga ni timu ndogo Sana. Kilichobaki kwa Yanga Ni uzee yaani Ni timu kongwe.

Ukisikiliza press wanazoitisha hawa watu wawili Manara na Bumbuli utagundua kwamba hawana plan ya ubingwa, na Kama Wana plan basi si plan ya kucheza mpira uwanjani.

Plan kubwa waliyobeba Ni namna gani tuidhoofishe Simba kwa propaganda za kijinga. Pili, Ni vipi tuwaandae waamuzi kisaikolojia kabla mzunguko wa pili haujaanza.

Yanga ni km ule msemo usemao nyani haoni kundule, mechi ya Yanga vs mbeya city ziliongezwa dakika kumi, hazungumzii penati waliyopewa dhidi ya Namungo nk.

Lkn Dakika zinazoongezwa haziongezwi kwa ajili ya Simba tu, zinatumika na timu pinzani pia ktk mechi husika.

Watu wazima wanalalamika mechi za Simba kutengeneza red card 5 au 6.Ishu si mechi za Simba kutoa red card nyingi bali , kwa watu wenye weledi ktk kufikiri wangejadili UHALALI wa hizo kadi km Ni halali au ni za uonevu. Hii ndiyo hoja. Kwamba kosa km linastahili kadi nyekundu basi waamuzi wasitoe kwa sababu ni Simba anacheza.

Na ikumbukwe kadi nyekundu ktk mechi za Simba zitakuwa nyingi sana kutokana jinsi wapinzani wanavyoingia uwanjani kuikamia simba, huku wakiwaza na bonus za GSM.

Mbeya city alipofungwa na Simba wachezaji walitoa chozi, waliumia, lkn wakaja kufungwa na Yanga goli zaidi ya 2 walitoka uwanjani wakiwa na furaha huku wakiwakumbatia wachezaji wa Yanga.

Yanga hawajajiandaa kuwa bingwa. Ubingwa haupatikani kwa kuhurumiwa, au kulalamika. Huwezi kupata ubingwa kwa kufitini timu pinzani kwa vyombo vya habari.

Mpira hauchezwi sebuleni ni mchezo wa wazi. Simba wao wanawaza wakafanye nini uwanjani kupata matokeo.

Timu kubwa hazilalamiki bali zinaamini ktk viwango vyao uwanjani.

Kama droo moja tu imekuwa hivi , kuna dalili Yanga kwenda kususa ligi huko mbele ya safari. Siwaoni wakiupata ubingwa kwa mwenendo huu, labda wabadilike.
 
Manara alipokua simba alikua anaitisha press kila kukicha sikuona malalamiko haya
 
Kama reference yako ni press ya juzi basi huna cha maana ulichosema. Binafsi si shabiki wa Yanga lakini malalamiko ya Bumbuli na Manara ni malalamiko sahihi yaliyowasilishwa wakati sahihi Ila Kwa namna yenye kasoro. Badala ya kuwashambulia personally tungeangalia walichoongelea ambacho kiujumla ni malalamiko ya timu zote kwani utendaji wa waamuzi katika ligi ya mwaka huu umekuwa wa ovyo karibu Kila Mechi. Kuthibitisha hilo ni kufungiwa Kwa kufungiwa waamuzi watatu ndani ya wiki moja inaonesha kukosa umakini katika kufikia maamuzi. Pia semina inayotarajiwa kuendeshwa siku 3 zijazo ni wake up call kwao kwamba Sasa mmeonekana hamko Sawa. Binafsi niwaombe TFF hata wangeacha yote lakini kwenye semina hiyo ya siku 3 waelekeze hasa waamuzi wasaidizi tafsiri bora ya sheria No.11 na Waamuzi wa Kati waelekezwe namna sahihi ya kujiposition kwenye matukio hasa yanayotokea karibu na goli.
 
unabisha Nini na unakubali nini. Tatizo la kuandika kwa mhemko na ushabiki.

Press ilikosa maana baada ya wao kuifanya Simba ndiyo tatizo na si waamuzi.

Press haikuadress matatizo ya waamuzi ktk ligi yetu bali mapambano ni kwann simba alipewa red card 5,kwanini aliongezewa muda mwingi.nk

Au unadhani wewe pekee ndiyo ulisikiliza Ile press. Ile ilikuwa press kwa ajili ya Simba na si mwenendo wa ligi. Unafikiri Simba wao hawana Cha kulalamikia?

Acha upumbavu.
 
Kwa hiyo press ya manara na bumbuli hawakuongelea waamuzi bali red card za simba tu?
 
Uhuru katika hii nchi umezidi sana.

Timu inayoongoza kwa pointi 5 na kiporo kimoja dhidi ya mpinzani wake eti inaambiwa haijajiandaa kua mabingwa.

Anyways!! Acha muda uongee.
 
Kuna watu kama wewe huwa mnadhani waamuzi ni malaika?
Unadhani hawajui wanachokifanya?
Kwa nini picha za marudio zisiruhusiwe kufanya maamuzi?Kwani sisi hatuhitaji VAR?
Semina ziwe pia kwa wachezaji maana wao ndio wanaoharibu mchezo kisa GSM ametoa pesa
Kama reference yako ni press ya juzi basi huna cha maana ulichosema. Binafsi si shabiki wa Yanga lakini malalamiko ya Bumbuli na Manara ni malalamiko sahihi yaliyowasilishwa wakati sahihi Ila Kwa namna yenye kasoro. Badala ya kuwashambulia personally tungeangalia walichoongelea ambacho kiujumla ni malalamiko ya timu zote kwani utendaji wa waamuzi katika ligi ya mwaka huu umekuwa wa ovyo karibu Kila Mechi. Kuthibitisha hilo ni kufungiwa Kwa kufungiwa waamuzi watatu ndani ya wiki moja inaonesha kukosa umakini katika kufikia maamuzi. Pia semina inayotarajiwa kuendeshwa siku 3 zijazo ni wake up call kwao kwamba Sasa mmeonekana hamko Sawa. Binafsi niwaombe TFF hata wangeacha yote lakini kwenye semina hiyo ya siku 3 waelekeze hasa waamuzi wasaidizi tafsiri bora ya sheria No.11 na Waamuzi wa Kati waelekezwe namna sahihi ya kujiposition kwenye matukio hasa yanayotokea karibu na goli.
 
Haya maneno ya Yanga amejiandaa au Lah! Tutakuja kuyaona mwishoni mwa msimu.
 
Kwa sasa bila shaka Yanga ni timu ndogo Sana. Kilichobaki kwa Yanga Ni uzee yaani Ni timu kongwe.

Ukisikiliza press wanazoitisha hawa watu wawili Manara na Bumbuli utagundua kwamba hawana plan ya ubingwa, na Kama Wana plan basi si plan ya kucheza mpira uwanjani.

Plan kubwa waliyobeba Ni namna gani tuidhoofishe Simba kwa propaganda za kijinga. Pili, Ni vipi tuwaandae waamuzi kisaikolojia kabla mzunguko wa pili haujaanza.

Yanga ni km ule msemo usemao nyani haoni kundule, mechi ya Yanga vs mbeya city ziliongezwa dakika kumi, hazungumzii penati waliyopewa dhidi ya Namungo nk.

Lkn Dakika zinazoongezwa haziongezwi kwa ajili ya Simba tu, zinatumika na timu pinzani pia ktk mechi husika.

Watu wazima wanalalamika mechi za Simba kutengeneza red card 5 au 6.Ishu si mechi za Simba kutoa red card nyingi bali , kwa watu wenye weledi ktk kufikiri wangejadili UHALALI wa hizo kadi km Ni halali au ni za uonevu. Hii ndiyo hoja. Kwamba kosa km linastahili kadi nyekundu basi waamuzi wasitoe kwa sababu ni Simba anacheza.

Na ikumbukwe kadi nyekundu ktk mechi za Simba zitakuwa nyingi sana kutokana jinsi wapinzani wanavyoingia uwanjani kuikamia simba, huku wakiwaza na bonus za GSM.

Mbeya city alipofungwa na Simba wachezaji walitoa chozi, waliumia, lkn wakaja kufungwa na Yanga goli zaidi ya 2 walitoka uwanjani wakiwa na furaha huku wakiwakumbatia wachezaji wa Yanga.

Yanga hawajajiandaa kuwa bingwa. Ubingwa haupatikani kwa kuhurumiwa, au kulalamika. Huwezi kupata ubingwa kwa kufitini timu pinzani kwa vyombo vya habari.

Mpira hauchezwi sebuleni ni mchezo wa wazi. Simba wao wanawaza wakafanye nini uwanjani kupata matokeo.

Timu kubwa hazilalamiki bali zinaamini ktk viwango vyao uwanjani.

Kama droo moja tu imekuwa hivi , kuna dalili Yanga kwenda kususa ligi huko mbele ya safari. Siwaoni wakiupata ubingwa kwa mwenendo huu, labda wabadilike.
Maneno kuntu haya,na huu ndiyo ukweli wenyewe
 
Kama reference yako ni press ya juzi basi huna cha maana ulichosema. Binafsi si shabiki wa Yanga lakini malalamiko ya Bumbuli na Manara ni malalamiko sahihi yaliyowasilishwa wakati sahihi Ila Kwa namna yenye kasoro. Badala ya kuwashambulia personally tungeangalia walichoongelea ambacho kiujumla ni malalamiko ya timu zote kwani utendaji wa waamuzi katika ligi ya mwaka huu umekuwa wa ovyo karibu Kila Mechi. Kuthibitisha hilo ni kufungiwa Kwa kufungiwa waamuzi watatu ndani ya wiki moja inaonesha kukosa umakini katika kufikia maamuzi. Pia semina inayotarajiwa kuendeshwa siku 3 zijazo ni wake up call kwao kwamba Sasa mmeonekana hamko Sawa. Binafsi niwaombe TFF hata wangeacha yote lakini kwenye semina hiyo ya siku 3 waelekeze hasa waamuzi wasaidizi tafsiri bora ya sheria No.11 na Waamuzi wa Kati waelekezwe namna sahihi ya kujiposition kwenye matukio hasa yanayotokea karibu na goli.
Kumbe wewe ni Haji Manara aliyenipaka masizi tu.
 
Uhuru katika hii nchi umezidi sana.

Timu inayoongoza kwa pointi 5 na kiporo kimoja dhidi ya mpinzani wake eti inaambiwa haijajiandaa kua mabingwa.

Anyways!! Acha muda uongee.
Sasa mayowe ya nini kama mumejiandaa kuchukua ubingwa?
 
Kwa hiyo kama tumejiandaa kuchukua ubingwa, basi ulitaka tunyamaze tu hata kama tunahujumiwa waziwazi na waamuzi wenye mafungamano na Makolokocho fc!

Hilo haliwezekani. Yaani timu ni mbovu! Lakini waamuzi wanaibeba tu kwa kuipa penati zenye utata! Huku timu inayo stahili kuwa bingwa, waamuzi wanatengeneza offside za uongo, ili tu isishinde! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
 
Kwa sasa bila shaka Yanga ni timu ndogo Sana. Kilichobaki kwa Yanga Ni uzee yaani Ni timu kongwe.

Ukisikiliza press wanazoitisha hawa watu wawili Manara na Bumbuli utagundua kwamba hawana plan ya ubingwa, na Kama Wana plan basi si plan ya kucheza mpira uwanjani.

Plan kubwa waliyobeba Ni namna gani tuidhoofishe Simba kwa propaganda za kijinga. Pili, Ni vipi tuwaandae waamuzi kisaikolojia kabla mzunguko wa pili haujaanza.

Yanga ni km ule msemo usemao nyani haoni kundule, mechi ya Yanga vs mbeya city ziliongezwa dakika kumi, hazungumzii penati waliyopewa dhidi ya Namungo nk.

Lkn Dakika zinazoongezwa haziongezwi kwa ajili ya Simba tu, zinatumika na timu pinzani pia ktk mechi husika.

Watu wazima wanalalamika mechi za Simba kutengeneza red card 5 au 6.Ishu si mechi za Simba kutoa red card nyingi bali , kwa watu wenye weledi ktk kufikiri wangejadili UHALALI wa hizo kadi km Ni halali au ni za uonevu. Hii ndiyo hoja. Kwamba kosa km linastahili kadi nyekundu basi waamuzi wasitoe kwa sababu ni Simba anacheza.

Na ikumbukwe kadi nyekundu ktk mechi za Simba zitakuwa nyingi sana kutokana jinsi wapinzani wanavyoingia uwanjani kuikamia simba, huku wakiwaza na bonus za GSM.

Mbeya city alipofungwa na Simba wachezaji walitoa chozi, waliumia, lkn wakaja kufungwa na Yanga goli zaidi ya 2 walitoka uwanjani wakiwa na furaha huku wakiwakumbatia wachezaji wa Yanga.

Yanga hawajajiandaa kuwa bingwa. Ubingwa haupatikani kwa kuhurumiwa, au kulalamika. Huwezi kupata ubingwa kwa kufitini timu pinzani kwa vyombo vya habari.

Mpira hauchezwi sebuleni ni mchezo wa wazi. Simba wao wanawaza wakafanye nini uwanjani kupata matokeo.

Timu kubwa hazilalamiki bali zinaamini ktk viwango vyao uwanjani.

Kama droo moja tu imekuwa hivi , kuna dalili Yanga kwenda kususa ligi huko mbele ya safari. Siwaoni wakiupata ubingwa kwa mwenendo huu, labda wabadilike.
NI WIVU TU
 
Back
Top Bottom