mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kaunda sports ArenaKutokana na matokeo ya kutoridhisha naushauri Uongozi wa Yanga uhamishie mechi zake za nyumbani Kwenye Uwanja wao wa Kaunda Sports Arena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza hasira chura?Kweli Once Mbumbumbu, Always Mbumbumbu. Yaani pamoja na kueleweshana maana ya "Arena" bado somo halijaeleweka tu?!
Kweli Once Mbumbumbu, Always Mbumbumbu. Yaani pamoja na kueleweshana maana ya "Arena" bado somo halijaeleweka tu?!
Chini naona kuna wazee na vitambi vyao wanapasha nahisi ni wachezaji wa timu inayoitwa "KITAMBI NOMA FC" na kwa juu naona meli la kitalii linapita maeneo ya suez canal nchini misri nadhani itakuwa watalii kutoka tz au amerika