Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Kamuulize aliyekuwa mwenyekiti wako wa zamani wa Kolo FC,aliyeliita ni kombe la akina mama.Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza.
Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani
Ila kinachoniacha mdomo wazi/kushangaa, na kuona Hawa utopolo ( wazee wa bahasha ) hawapo sawa ni kuwa, kipindi wanaidharau CAFCC hapo hapo wanajisifu kufika fainali kwa mashindano hayo hayo ya CAFCC
SASA najiuliza Hawa watu wana akili timamu kweli au wanaongozwa na kauli yao pendwa ya NYUMA MWIKO????
Unaangaika na awa wafuasi wa mangungu, wanajua sana tu aliyeliita kombe la wakinamama isipokuwa wanajizima data tu ujuaji mwingi!Kamuulize aliyekuwa mwenyekiti wako wa zamani wa Kolo FC,aliyeliita ni kombe la akina mama.
Akili walishamkabidhi mangungu unadhani anawaongoza hivi hivi uoni ata matendo yao!Kama nyie Simba
Kinachonishangaza mlianza kuikisoa CAFCC (ambapo na nyie sasa hivi mnacheza), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo yenu kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani
Ila kinachoniacha mdomo wazi/kushangaa, na kuona nyie makolo ( wazee wa kubebwa ) hampo sawa ni kuwa, kipindi mnaisifu CAFCC hapo hapo mliidharau Yanga kufika fainali kwa mashindano hayo hayo ya CAFCC
SASA najiuliza nyie watu mna akili timamu kweli au mnaongozwa na kauli yenu pendwa ya MBUMBUMBU
Kwa mujibu wa Mzee Magoma hao wote ni mazezeta.Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza.
Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani
Ila kinachoniacha mdomo wazi/kushangaa, na kuona Hawa utopolo ( wazee wa bahasha ) hawapo sawa ni kuwa, kipindi wanaidharau CAFCC hapo hapo wanajisifu kufika fainali kwa mashindano hayo hayo ya CAFCC
SASA najiuliza Hawa watu wana akili timamu kweli au wanaongozwa na kauli yao pendwa ya NYUMA MWIKO?
Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Huwa nashangaa watu wanaoponda kauli mbiu ya "mbele daima nyuma mwiko"Hii kauli imetoholewa kutoka katika biblia ambayo yesu alisema mtu atakaye tia mkono shambani Kisha akaangalia nyuma hafai kwa ufalme wa Mungu.Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza.