Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
..Ndio matatizo yenu kushinda mshinda nyie tu Yanga wakishinda Simba wamebahatisha...Hovyooooooooooooooo!!!Watakuwa wamebahatisha kama hawa kununua referee
Referee amewachanganya wachezaji wa Moro Utd, mwanzo wa mchezo alikuwa amevaa vizuri tu nguo zilizo tofauti na wachezaji wa timu zote. Baada ya half time, alirudi uwanjani na mavazi yanayofanana na jezi za Moro Utd, ndipo wachezaji wakaanza kumpa pasi !! Haileweki alibadili kwa sababu gani. Au kwa kuwa vile vyumba vinaitwa "vyumba vya kubadilishia nguo" ?

tunashukuru kwa kazi unayoifanya ipo standard na speed safi mnooooooooooo
Balantanda
tunashukuru kwa kazi unayoifanya ipo standard na speed safi mnooooooooooo
Sasa Wandugu bado mechi ngapi tutawazwe mabingwa? Na sherehe tutaifanyia wapi?
Mimi nashauri hiyo sherehe tuwakaribisheni Simba- au mnaonaje?
Haha haha Ha!
Hahahaaaaaa... funny how time flies!! Majuzi tu yaani yanga walikuwa wanaalikana kwenye ubingwa, leo sijui hata dalili hizi sizioni
Wakongwe karibuni basi tujadili jinsi soka la yanga lilivyofulia pamoja na kupata kocha mpya Clinton??!!😛
Pole mtani wangu Masa