Yanga hatarini kufungiwa usajili, Eymael asema asilaumiwe

Hili ndo linaniuma zaidi,

Nyani tuitwe sisi halafu na fedha tulipe sie[emoji24][emoji24][emoji24]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zero brain kama nyie ni tatizo kwenye mpira wetu, na wewe ukute una familia inakutegemea uisimamie🤔🤔
Mpira ni uwekezaji na sio blah blah au tantalila za mhindi wenu wa bombay, sasa hivi mmewekeza kwenye kupiga domo mitandaoni na wenzenu wametulia wanawachora tu mnavyojianika wakiweka mipango ya msimu ujao, ligi ikianza muanze kufungua mabakuri yenu mara bahasha, mara mangungu aachie ngazi!
 
Mlisema hivyo hivyo hadi kwenye ishu ya Nabi.

Tena aliongea Raisi wa Club kuwa wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba na Nabi.

Lakini leo Nabi ndio ametufunulia ukweli wote ambao hatukuujua.

Mkadanganya kuwa mtoto wake ndio Meneja wake na amekuja kwa ajili ya kumsimamia dingi yake kwenye kuongeza mkataba mpya.

Maisha yenu yote ni uongo....

Halafu

Uwekezaji unaenda sambamba pamoja na kulipa mishahara wachezaji kwa wakati.

Yanga Princess sijui kama mmewalipa mpaka sasa.

Bangala na Djuma Shabani wameamua kutumia deni wanalodai kama pesa ya kuvunjia mkataba baada ya kulimbikiza kwa muda mrefu na hakuna dalili wanayoona watalipwa.
 
Baada ya ayo yote kutokea mkabeba makombe mangapi bwana mkubwa? Watakuja kwenu muwalipe nyie mnaolipa mishahara kwa wakati ndio maana mmebeba makombe mfululizo wachezaji wenu wana morali ya kufanya kazi!
 
Usimsahau Papaa Mwinyi Zahera ....bana congo aliwalipia mpaka nauli na chakula hawa uto
 
Waache kidogo mkuu utawaua kwa presha
 
Asie daiwa ni nani hapa duniani?
Hiyo haiwezi kuwa justification

Kwasababu watu ni kawaida kuwa na madeni ndio sababu ya kufanya usiwalipe waajiri wako?
 
Mwaka 1975/1976 Yanga walikuwa wamechelewa sana kulipia mkopo wa kujenga makao makuu yao na uwanja wao. Benki wakaenda mahakamani. Mahakama ikawapa Yanga mwezi mmoja walipe au makao maku yao na kiwanja vipigwe mnada. yanga waliteuwa kamati ya kuchangisha hela zinazohitajika; wakafungua akaunti maalumu kwa shughuli hiyo tu. Fedha yote iliyokuwa ikihitajika ilipatikana ndani ya muda husika na makao makuu na uwanja vikasalimika mpaka leo. Sembuse madai ya mtu mmoja?
 
Yanga kubwa
Hiyo ni pesa ndogo kwa taasisi kubwa kama Yanga
Huyo kocha mjinga tuna msumbua tumlipe kwa mafungu maksudi
Jana alivoropoka akalipwa dola 15000
Kulipwa atalipwa ila cha moto atakipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo haiwezi kuwa justification

Kwasababu watu ni kawaida kuwa na madeni ndio sababu ya kufanya usiwalipe waajiri wako?
Kwani taratibu za kudai si anazijua aende huko huku mitandaoni atasaidika vipi?
 
Kwani taratibu za kudai si anazijua aende huko huku mitandaoni atasaidika vipi?
Mtandaoni ni kupeana habari tu juu ya taarifa fulani watu wajue.

Mtandaoni kuna influence kubwa inayoweza kufanya walipwe kutokana na kwamba taasisi inaweza kwenda kujichafulia jina lake.

Ishu ya Feisal ingefanyika kimya kimya unafikiri Raisi amgaweza kuipatia wapi?
 
Mtu akikudai wewe anaenda kupost mitandaoni? walifunga mkataba mitandaoni? Swala Feisal lilitatuliwa na media gani?
 
Mtu akikudai wewe anaenda kupost mitandaoni? walifunga mkataba mitandaoni? Swala Feisal lilitatuliwa na media gani?
Nani kasema media ilitatua swala la Feisali?

Nimesema mchango wa media katika kusaidia ishu ya Feisal kuwa solved.

Interview aliyofanya Clouds ilienda viral ikamfikia na Raisi ndio akaona ipo haja ya kuingilia kati.

Kwa maana hiyo Feisali angekaa kimya bila watu kujua kinachoendelea, ingewezekana vipi Rais kumsikia?
 
Muda mbaya na msomali inaonekana kavurugwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…