Beatus Mtengwa
New Member
- Feb 9, 2019
- 2
- 0
Kama una jeuri ya kuogelea au unaweza kuuruka mto, unaweza tukana....
baada ya yanga kupoteza alama 7 mpaka sasaiv kufatia kukubali kichappo cha bao 1-0 kutoka kwa stand united SC ya shinyanga imefanya vita ianze upya zidi ya watani wao wa jadi wekundu wa msimbazi!!!!