mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hapo kwa Dodoma jiji ndio penye shida.Endapo matokeo yaliobaki yatakuwa hiviView attachment 1845501
hii hii utopoloYanga ipi hiyo
Labda kwa kumtegemea mzee mpilihii hii utopolo
Bado nyinyiManunu mmeamkaje?nasikia jana kuna dogo mmemuonea huko taifa?
Ndoto ya mwendawazimu hiyoEndapo matokeo yaliobaki yatakuwa hiviView attachment 1845501
Ya mzee mpiliYanga ipi hiyo
Enzi zile tunawambia mnashinda kwa margin ndogo mkawa mnadai kikubwa ni point 3.