Yanga Hatuna Furaha

Igwe Kingdom

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
317
Reaction score
590
Kivumbi na Jasho lakin wapii, wale warabu nasikia walipokuja kwa mkapa walivaa viatu vyenye mfumo wa Four wheel drive 4×4,ndo maana walikua hawaanguki na ile mvua yote.

ile kiatu unaweza cheza hadi kwenye majaruba ya mpunga kule misungwi

Jamani hawa watu watatua aisee ingewezekana hilo kombe walichukue kuliko kuharbu gharama zetu... hzo medani za kushiriki watutumie kwenye basi.

Wanayanga tunawaza tuanze kubana pumbu zetu kuanzia sasa lakin si zitakua nyekundu mwishowe zikatike?

Aziza Shayo apigwe homa kali asiende kule huyu tulipigwa usiku wa manane tuliuziwa kitimoto badala ya mbuzi.

Mwiko nyuma mbele kwa mbele Daima.

YANGA AFRICA.
 
Yanga vs Al Hilal
Maneno ya waachao Mbuzi na mashabiki wa roborobo fc a.k a wakosa kombe, wakaongea maneno mengi mara ooho Yanga mtapigwa nyingi mara ooho Ibenge hatari lakini mwisho wa siku Yanga kafungwa goli moja huku Ibenge akipaki treni na kukubali kuwa mnyonge

Mechi ya Yanga na Club Africain. Vile vile mkaongea mengi sana kuwa kwa mpira waliocheza club Africain kwa Mkapa basi kule mtayaoga mengi lakini mwisho wa siku wametolewa kule kule kwake. Yaliongelewa vs timu nyingi ikiwemo Marumo, Rivers n.k lakini wakapigiwa huko huko kwao na record zao zikavujwa. Bado tu hamjajifunza kuongea kwa akiba? Huu ni mpira atakayejipanga vizuri atapata matokeo haijalishi unacheza wapi. Hivyo chochote kinaweza tokea siku hiyo.
 
Tangu lini ukawa semaji kuu la Utopolo TZ?
 
Endelea kuota USM Algiers sio Marumo

Wale mpira wanaujua mlikuwa mnakutana na vibonde
 
Utumieni vizuri huu mda! Timu lenu bovu wala hamuna mda nalo mmekomaa na Yanga mwisho wa msimu mnarudi kule kule
 
Ngoja nikumbushe kitu

Mechi yenu na Club Africain hapa kwa Mkapa mliyotoa sare sio wachambuzi waliokuwa wakwanza kusema hamtoboi kwenye 2nd leg.

Mashabiki nyinyi ndio mliokuwa wakwanza kukata tamaa, na wengine mlikuwa cowards hamkutaka hata kusema chochote kama ambavyo saizi wengine wamekaa kimya

Your browser is not able to display this video.


Kwenye ishu ya Al Hilal hapo umeandika as if mlifikia malengo yenu.

Kuweka kumbukumbu sawa mechi ya Wydad na Simba ilitokea scenario kama yenu kwenye mechi dhidi ya Al Hilal

Kila mtu alisema Simba atafungwa bao nyingi na wewe sio kama hukuwaona humu, kuna huyu Dr Matola PhD aliwahi kutoa post ikionesha Simba itapigwa 8-0 kuke Morroco

Tulimuangalia kama mshabiki tu wa Gongowazi ambaye anaweza kusema chochote tu ili kuipa furaha nafsi yake.

Pia kuna wachambuzi wengi walitabiri kipigo cha magoli mengi kwa Simba nao hatukuwaona kama haters kama nyinyi mnavyojiliza liza na kujiona kama mnawengwa.

Siku wanayotoa draw za robo viongozi wenu walivyoona tunepangwa na Wydad walianza kufurahi na kutudhihaki kuwa tumeishia hapo tena kwa kipigo kikubwa.

Leo hii mnataka mseme nini kuhusu watu kuacha kushabikia timu pinzani na nyie?

Leo hii mnataka kuzuia nini au tuonekane hater kwa kupita njia zile ambazo nyinyi mmekuwa mnapita na hatuwasemi chochote?
 
Angalia usipigwe ngumi ,wanayanga tuna jaziba na tumepanic ...hatujui tufanye kipi na tuache kipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…