Yanga hatutotoboa kwa Kagera Sugar

Yanga hatutotoboa kwa Kagera Sugar

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.

Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.

NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
 
[/QUOTE]

Sasa kama hayo ni maono yako, unatushirikisha sisi ili iweje? Tuwe wapiga ramli kama wewe! Acha kutuchosha bhana!!
 
NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar

Sasa kama hayo ni maono yako, unatushirikisha sisi ili iweje? Tuwe wapiga ramli kama wewe! Acha kutuchosha bhana!![/QUOTE]Timu mbovu
 
Mpumbavu mkubwa wewe unatuombea mabaya wananchi ushindwe shetani,tunamtungua 3-0 nakupa taarifa
 
Timu mbovu
Kama timu mbovu, unaangaika nayo kutwa kufungulia nyuzi za kulalamika ya nini? Si hamia kwenye timu unayoina ni bora kwako. Unatuchosha na minyuzi yako ya malalamiko tuu kila siku.[/QUOTE]Nitafungua nyuzi mpaka siku nitakayoona kuna mabadiliko wewe kinachokuchosha nini sasa labda tuanzie hapo
 
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.

Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.

NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
Mawazo ya mikia nyuma ya pazia la wananchi
 
Yan kuna majitu duniani hayajitambui sijui kwanini. Yan jitu linaongelea kitu ambacho halikishabikii sijui ili iweje. [emoji35][emoji35][emoji35]
 
]Nitafungua nyuzi mpaka siku nitakayoona kuna mabadiliko wewe kinachokuchosha nini sasa labda tuanzie hapo
Unataka mabadiliko yapi kwani ulichangia sh ngapi? Mpira ni burudani, ukiona haupati burudani unayoitaka si uhamie utakapoona utapata burudani unayoitaka. Sio kila siku kuandika nyuzi za malalamiko Kama vile kuna mchango uliochangia kwa Yanga.
 
Tulia ww, hatutoboa unacheza ww...??
Wacha Leo uone kabumbu Kali linasakatwa pale Kaitaba kutoka kwa wananchi, point 3 ni halali yetu
 
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.

Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.

NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
Ivi unapata faida gani kujifanya we shabiki wa yanga afu kumbe ni shabiki wa mbumbumbu?

Kwanini mashabiki wa mbumbumbu mna habari zetu afu sisi zenu hatuna?

Naona unaipenda yanga kijana maana kila siku we ni yanga tu..
 
Back
Top Bottom