NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
Kama timu mbovu, unaangaika nayo kutwa kufungulia nyuzi za kulalamika ya nini? Si hamia kwenye timu unayoina ni bora kwako. Unatuchosha na minyuzi yako ya malalamiko tuu kila siku.Timu mbovu
PSG kwa Bavaria voHaha
Kama timu mbovu, unaangaika nayo kutwa kufungulia nyuzi za kulalamika ya nini? Si hamia kwenye timu unayoina ni bora kwako. Unatuchosha na minyuzi yako ya malalamiko tuu kila siku.[/QUOTE]Nitafungua nyuzi mpaka siku nitakayoona kuna mabadiliko wewe kinachokuchosha nini sasa labda tuanzie hapoTimu mbovu
Mawazo ya mikia nyuma ya pazia la wananchiNimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.
Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.
NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
Unataka mabadiliko yapi kwani ulichangia sh ngapi? Mpira ni burudani, ukiona haupati burudani unayoitaka si uhamie utakapoona utapata burudani unayoitaka. Sio kila siku kuandika nyuzi za malalamiko Kama vile kuna mchango uliochangia kwa Yanga.]Nitafungua nyuzi mpaka siku nitakayoona kuna mabadiliko wewe kinachokuchosha nini sasa labda tuanzie hapo
Ivi unapata faida gani kujifanya we shabiki wa yanga afu kumbe ni shabiki wa mbumbumbu?Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.