Yanga hatutotoboa kwa Kagera Sugar

Nitafungua nyuzi mpaka siku nitakayoona kuna mabadiliko wewe kinachokuchosha nini sasa labda tuanzie hapo
Unataka mabadiliko yapi kwani ulichangia sh ngapi? Mpira ni burudani, ukiona haupati burudani unayoitaka si uhamie utakapoona utapata burudani unayoitaka. Sio kila siku kuandika nyuzi za malalamiko Kama vile kuna mchango uliochangia kwa Yanga.[/QUOTE]Akili huna wewe sasa majukwaa yamewekwa kwa ajili ya nini..nyuzi za malalamiko ni lazima ili mabadiliko yatokee..kuna wanachama na viongozi wapo humu na wanapitia haya malalamiko hii pekee inatosha kuwaaminisha kwamba fans wanataka mabadiliko.. Kama huna cha kuchangia ni heri ukae kimya au uendelee kukata vitunguu kwa shemeji yako hapo
 
Ivi unapata faida gani kujifanya we shabiki wa yanga afu kumbe ni shabiki wa mbumbumbu?

Kwanini mashabiki wa mbumbumbu mna habari zetu afu sisi zenu hatuna?

Naona unaipenda yanga kijana maana kila siku we ni yanga tu..
Unataka niwe timu gani
 

Nimekuuliza mabadiliko gani unayotaka wewe?
hujanijibu. Mpaka kila siku unaandika minyuzi ya malalamiko juu ya Yanga ni wazi kwamba unaateseka na Yanga. Jifunze kujibu hoja sio kuleta mipasho ya mambo ya kukata vitunguu.

Kwanini unateseka na Yanga kila siku?
Unataka mabadiliko yapi?
Umeongelea kuwa Yanga ni mbovu je hadi sasa, hiyo timu wana muda gani tokea wachezaji na benchi wawe pamoja?
Yanga ni mbovu kwa kutumia kigezo kipi

Jibu hoja sio mipasho
 
Marefa wakiendelea kukaza,Wewe,wenzako mtafungua sana threads humu ndani za kuichambua Yanga mnadhani mpira ni propaganda za CCM VS CHADEMA.
 
Huangalii mpira au kama unaangalia basi hujui mpira hupaswi kutumia nguvu nyingi ili kugundua yanga bado mbovu kama ni mtu wa mpira utalitambua.
*Ukiwaangalia hakuna mipango ya moja kwa moja ya kutafuta goli
*hawachezi kitimu kila mtu anataka aonekane kwa wakati wake
*attacking midfielders wanashindwaga kupiga key passes ( sijawahi kuona mechi zote mbili)
*ni timu inayopanic ukiwathreat sana
Halafu nakushangaa eti utakuja kusema bado hawajazoeana sasa unazani mabadiliko mengine tunayoyataka sisi ni yapi waachage kusajili wachezaji 15 kwa msimu hii sio timu ya mchangani Bob yatupaswa kubadilika
 
Hii taka taka yako ulio ipost utakuja kuikimbia hii.
 

Nimekuuliza hao wachezaji wapya na benchi la ufundi wanamuda gani mpaka sasa?
Yanga imecheza michezo mingapi
 
Nimekuuliza hao wachezaji wapya na benchi la ufundi wanamuda gani mpaka sasa?
Yanga imecheza michezo mingapi
Wewe jamaa umesoma comment yangu mpaka mwisho?
 
Aya half time mpaka saivi kuna jipya mmeona au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…