pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Source ya taarifa haujaweka, na kama ipo hivyo basi itakuwa usajili unaozungumziwa hapo ni kusajili wachezaji kwenye system
Kwani deadline lini?
Hujaosoma taarifa mpaka mwishoSource ya taarifa haujaweka, na kama ipo hivyo basi itakuwa usajili unaozungumziwa hapo ni kusajili wachezaji kwenye system
Leo ndio siku ya mwisho?
Hapana ni taarifa tu, Sasa waulize viongozi wenu kwa Nini hawajasajili mchezaji hata moja.Leo ndio siku ya mwisho?
Kwani Usajili Unafungwa Leo? Papara Za Nn Hao TFF?
Rage apewe mauwa yake.Hapana ni taarifa tu, Sasa waulize viongozi wenu kwa Nini hawajasajili mchezaji hata moja.
JamiiForums mobile app
Ili waokote makapiWaacheni wanasubiria Thank you kutoka timu makini
Ndugu! kama hakuna cha kupost humu jukwaani, basi tuwe tunatulia ili kulinda heshima zetu.
Kilichokukasirishanini!Ndugu! kama hakuna cha kupost humu jukwaani, basi tuwe tunatulia ili kulinda heshima zetu.
Ukisoma hayo maelezo yangu utagundua nimekushauri tu. Na wala sijakasirika. Na ikitokea umeshauriwa, kuna mawili; uupokee ushauri, au uukatae.
Hizo timu zinashiriki michuano ya CAF, deadline yake imebaki siku chache sana. Bahati mbaya Yanga haijamaliza kumlipa kocha Luc Eymael, akaunti inakataa passwordLeo ndio siku ya mwisho?