Yanga hawajasajili mchezaji hata moja

Hizo timu zinashiriki michuano ya CAF, deadline yake imebaki siku chache sana. Bahati mbaya Yanga haijamaliza kumlipa kocha Luc Eymael, akaunti inakataa password
Vipi kuhusu Azam waliosajili Saba? Ficha upumbavu wako. Sio unakurupuka tu
 
Kama kuonyesha idadi ya wasiosajiliwa ni upumbavu, basi walaumu TFF, sio mimi
Walitakiwa watoe hiyo taarifa masaa kadhaa kabla ya kufungwa Kwa dirisha. Maana Azam mpaka huo muda ilikua na watu Saba tu.
 
Hizo timu zinashiriki michuano ya CAF, deadline yake imebaki siku chache sana. Bahati mbaya Yanga haijamaliza kumlipa kocha Luc Eymael, akaunti inakataa password
Mbumbumbu on one and two deadline ni tarehe 30 leo tarehe 21 unawashwa nini
 
Hizo timu zinashiriki michuano ya CAF, deadline yake imebaki siku chache sana. Bahati mbaya Yanga haijamaliza kumlipa kocha Luc Eymael, akaunti inakataa password
Wala haihusiani na kutomlipa kocha, hata kama ingekuwa inahusiana inamana Yanga hawapaswi kuwa na wachezaji hata wa zamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…