Yanga hawawezi kujaza Taifa

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Kwa kiwango cha Yanga na muendelezo wa matokeo mazuri ya team yao nilitegemea jana wajae ila imekuwa tofauti na matarajio licha ya majigambo na mwenendo mzuri ila uwanja ulikuwa nusu hakukuwa na sold out.
 
Habari za weekend wadau,
Baada ya kushuhudia kandanda safi taifa jana kati ya yanga na al ahly kwa kiwango cha yanga na muendelezo wa matokeo mazuri ya team yao nilitegemea jana wajae ila imekuwa tofauti na matarajio licha ya majigambo na mwenendo mzuri ila uwanja ulikuwa nusu hakukuwa na sold out na ili wajaze inabidi serikali iingilie kati kwa kugawa tickets za bure.

Wakati simba wanapewa tuzo ya mashabiki bora Africa watu wengi waliongea sana na kusema hawakustahili ila mechi ya jana imedhihirisha yanga hawawezi kujaza taifa bila fungulia mbwa.

Simba kipindi ipo kwenye kiwango kizuri ile mechi kama ya jana wangejaza uwanja na wengine wangebaki nje kwa kukosa nafasi huo ukubwa wenu Africa uko wapi?
 
Mashabiki bado hawajiamini, wakianza kupata matokeo, watajaza uwanja.

Yaani uhakika al ahly kaja kafa 2, kaja wydad kafa 3, mechi inayofata watafurika uwanjani
Rejea simba ilopigwa tanotano na al ahly na as vita, mashabiki waliujaza uwanja mechi za marudiano, sasa inakuaje uto mpaka muanze kushinda ndo muujaze?
 
Rejea simba ilopigwa tanotano na al ahly na as vita, mashabiki waliujaza uwanja mechi za marudiano, sasa inakuaje uto mpaka muanze kushinda ndo muujaze?
Simba ni kesi nyingine, mashabiki wa simba ni wa kipekee linapokuja suala la kwenda uwanjani... Mara nyingi hata mimi huwa siendi sababu ya matokeo mazuri kuna muda najisikia tu kwenda taifa kuitizama simba(chama langu)
 
Unapokuja na thread aina hii yakupasa uje na ushahidi wa picha kuliko huu ushambenga unaofanya. Yan umeleta thread utafikiri haijawahi kujaza uwanja. Eti hawawezi kujaza uwanja sMH!!
 

Attachments

  • download.jpeg
    11.6 KB · Views: 3
  • images (1).jpeg
    51.9 KB · Views: 2
Kwa kiwango cha yanga na muendelezo wa matokeo mazuri ya team yao nilitegemea jana wajae ila imekuwa tofauti na matarajio licha ya majigambo na mwenendo mzuri ila uwanja ulikuwa nusu hakukuwa na sold out na ile
Twakimu za bodi ya ligi zinasemaje kuhusu idadi ya mahudhurio viwanjani? au una takwimu zako binafisi
 
Simba ni kesi nyingine, mashabiki wa simba ni wa kipekee linapokuja suala la kwenda uwanjani... Mara nyingi hata mimi huwa siendi sababu ya matokeo mazuri kuna muda najisikia tu kwenda taifa kuitizama simba(chama langu)
Mechi ya Simba na ASEC uwanja ulijaa? au mnajitoa fahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…