Ni fireeeee,hata waidharauTimu hii ilidharaulika sana hasa msimu huu.Ajabu,pamoja na ubovu wao na kudharauliwa kote huko,KILA MECHI WANASHINDA!
Ni nini SIRI ya MAFANIKIO YA TIMU HIYO ILIYOCHUKULIWA POA HAPO KABLA?!
Sababu kubwa ni kuwa wanajua kikosi chao ni chembamba kwa maana hakina wachezaji wengi tegemezi, hivyo lazima round ya kwanza wakaze ili ikianza uchovu,majeruhi,mkataba,kocha hafai,mchawi fulani,marupurupu, n.k wawe at least kwenye big 5.
Mwendo wa Yanga ni mwendo wa mtibwa miaka yote ila hali huwa tete mzunguko wa pili. Mark my word.
NB. Morali ipo juu kwa sasa na wakipoteza mechi moja tu basi tayari lawama na nn, baadhi ya wachezaji kujiona ndio muhimu na kususia(Ajibu) baadhi ya mechi hadi kieleweke. Ww subiri mda uje utaona This is Tanzania. Only fans are sincere.
Walioidharau walikuwa wakiitizama kwa miwani ya mbao. Hawakujua kwamba asilimia kubwa ya wachezaji waliyoipa ubingwa miaka mitatu mfululizo bado wamebaki na timu. Ndiyo hawakuwa na morali. Lakini morali ni rahisi kuupandisha kama ilivyo rahisi kuushusha. Walidhani pesa pekee ndiyo inayoweza kupandisha ama kushusha morali. Waliamini kwamba Ngoma na Chirwa ni wachezaji wa kipekee dunia hii, na kuondoka kwao kungeiwachia Yanga pengo la milele. Waliamini kwamba timu ikishakuwa na wachezaji wenye majina makubwa, magoli yatajifunga yenyewe na kwa hivyo haingewezekana waliyoyaona kuwa ni majina madogo ndani ya Yanga yangeweza kufanya angalau robo ya ambayo yangefanywa na majina makubwa ya Simba, Azam na Singida. Hawakujua kwamba mwalimu ana nafasi kubwa katika ufanisi wa timu, na kwamba timu yenye uhaba wa pesa haiwezi kupata mwalimu mzuri. Waliamini kwamba mwalimu mzuri ni yule aliyepata kuzifundisha timu kubwa pekee, bila ya kujua kwamba ubora wa Mwalim hupimwa pia kwa alichokifanya kabla ya kupata jina. Waliamini kwamba kikosi kipana ni kile kilichosheheni majina makubwa, bila ya kujua kwamba zege haifanywi kwa nondo au saruji pekee bali lazima kokoto, mchanga na hata maji vipatikane. Kadhalika pilau haikamiliki kwa minofu ya nyama na mchele wa Mbeya pekee bali lazima na uzile, mdalasini, pilipili manga na hata zabibu ziwemo.Timu hii ilidharaulika sana hasa msimu huu.Ajabu,pamoja na ubovu wao na kudharauliwa kote huko,KILA MECHI WANASHINDA!
Ni nini SIRI ya MAFANIKIO YA TIMU HIYO ILIYOCHUKULIWA POA HAPO KABLA?!
Atacheza mzunguko wa kwanza mechi 11 Dar consecutively, Japo baadhi ya mechi ni za hapo hapo Dar ila ukweli unabaki palepale kuwa mzunguko wa pili ugenini sana kuliko Simba. Simba atacheza mechi 8 consecutive round 1. So though games ahead mm nawacheki tu,Nataka kukubaliana na wewe. Wengi hawawezi kukuelewa lkn kuna pointi muhimu sana ndani yake. Wakipigwa mechi moja, nitaona watakavyoweza kurecover faster.
Lkn pia kuna pointi moja muhimu kuwa Yanga na Simba hazijawahi kusumbuka kushinda mechi za ligi Dar es Salaam
CoconuthoodWalioidharau walikuwa wakiitizama kwa miwani ya mbao. Hawakujua kwamba asilimia kubwa ya wachezaji waliyoipa ubingwa miaka mitatu mfululizo bado wamebaki na timu. Ndiyo hawakuwa na morali. Lakini morali ni rahisi kuupandisha kama ilivyo rahisi kuushusha. Walidhani pesa pekee ndiyo inayoweza kupandisha ama kushusha morali. Waliamini kwamba Ngoma na Chirwa ni wachezaji wa kipekee dunia hii, na kuondoka kwao kungeiwachia Yanga pengo la milele. Waliamini kwamba timu ikishakuwa na wachezaji wenye majina makubwa, magoli yatajifunga yenyewe na kwa hivyo haingewezekana waliyoyaona kuwa ni majina madogo ndani ya Yanga yangeweza kufanya angalau robo ya ambayo yangefanywa na majina makubwa ya Simba, Azam na Singida. Hawakujua kwamba mwalimu ana nafasi kubwa katika ufanisi wa timu, na kwamba timu yenye uhaba wa pesa haiwezi kupata mwalimu mzuri. Waliamini kwamba mwalimu mzuri ni yule aliyepata kuzifundisha timu kubwa pekee, bila ya kujua kwamba ubora wa Mwalim hupimwa pia kwa alichokifanya kabla ya kupata jina. Waliamini kwamba kikosi kipana ni kile kilichosheheni majina makubwa, bila ya kujua kwamba zege haifanywi kwa nondo au saruji pekee bali lazima kokoto, mchanga na hata maji vipatikane. Kadhalika pilau haikamiliki kwa minofu ya nyama na mchele wa Mbeya pekee bali lazima na uzile, mdalasini, pilipili manga na hata zabibu ziwemo.
Ila hao wote walioko juu ya msimamo wa Ligi, na hasa washabiki wao, waweke akiba ya maneno maana sifa kubwa ya mpira ni matokeo yasiyotazamiwa. Nani angefikiria kwamba Real Madrid licha ya utajiri na majina yake makubwa ingepitia inakopita sasa? Nani alitarajia Borussia Dortmund kufanya vyema zaidi ya Bayern? Nani alitarajia Leicester ingetwaa ubingwa wa Uingereza mbele ya vigogo kama Arsenal, Man U, City na Chelsea? Ni mapema mno kuanza kutambiana na kukejeliana. Achekaye mwisho ndiye hucheka zaidi.
Sababu kubwa ni kuwa wanajua kikosi chao ni chembamba kwa maana hakina wachezaji wengi tegemezi, hivyo lazima round ya kwanza wakaze ili ikianza uchovu,majeruhi,mkataba,kocha hafai,mchawi fulani,marupurupu, n.k wawe at least kwenye big 5.
Mwendo wa Yanga ni mwendo wa mtibwa miaka yote ila hali huwa tete mzunguko wa pili. Mark my word.
NB. Morali ipo juu kwa sasa na wakipoteza mechi moja tu basi tayari lawama na nn, baadhi ya wachezaji kujiona ndio muhimu na kususia(Ajibu) baadhi ya mechi hadi kieleweke. Ww subiri mda uje utaona This is Tanzania. Only fans are sincere.
umeanza kufuatilia mpira msimu uliopita nini???....Yanga weka mbali na watotoSababu kubwa ni kuwa wanajua kikosi chao ni chembamba kwa maana hakina wachezaji wengi tegemezi, hivyo lazima round ya kwanza wakaze ili ikianza uchovu,majeruhi,mkataba,kocha hafai,mchawi fulani,marupurupu, n.k wawe at least kwenye big 5.
Mwendo wa Yanga ni mwendo wa mtibwa miaka yote ila hali huwa tete mzunguko wa pili. Mark my word.
NB. Morali ipo juu kwa sasa na wakipoteza mechi moja tu basi tayari lawama na nn, baadhi ya wachezaji kujiona ndio muhimu na kususia(Ajibu) baadhi ya mechi hadi kieleweke. Ww subiri mda uje utaona This is Tanzania. Only fans are sincere.
Msimu uliopita majeruhi,kipa mbovu na ukata ..msimu huu hakuna hivyo vitu...mwenyekiti karudi ..Yanga chinjachinja ..kukosa kwenu ushindi Ntwara na Mwanza isiwe sababu ya Yanga kufanya vibaya mikoani.....Mzunguko wa lala salama mechi nyingi atacheza mikoani, hapo ndo atajua maana ya ligi
Hitlerism!Coconuthood
Mkuu tangu lini imeacha kudharaulika?Timu hii ilidharaulika sana hasa msimu huu.Ajabu,pamoja na ubovu wao na kudharauliwa kote huko,KILA MECHI WANASHINDA!
Ni nini SIRI ya MAFANIKIO YA TIMU HIYO ILIYOCHUKULIWA POA HAPO KABLA?!
Mkuu tangu lini mmeacha kuitwa omba omba?Usajili wetu ulikuwa wakuungaunga na jamaa walituita omba omba lakini Mungu mkubwa, timu inafanya vema! Na inshallah tutachukua kombe letu!